ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Friday, March 24, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Ruto amuomba msamaha Kenyatta

I am Krantz by I am Krantz
May 27, 2022
in HABARI
0
Ruto amuomba msamaha Kenyatta
0
SHARES
166
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Katika tukio ambalo halikutarajiwa,naibu wa Rais William Ruto alimuomba msamaha Uhuru Kenyatta kwa kuwa na msimamo wa binafsi japo wako kwenye chungu kimoja.
Kwenye hotuba yake ya mwisho kama naibu wa rais wa Kenya, kinyume na itifaki, William Ruto alimualika mgombea mwenza wa urais wa chama cha Azimio la Umoja One Kenya, Martha Karua kulihutubia taifa kama mwakilishi wa Raila Odinga anayewania urais .Martha Karua amesisitizia umuhimu wa kufanya kampeni pasina matusi na kauli chafu.

Bi Karua amesema,”sala bila vitendo sio kweli. Naomba sala zetu ziambatane na vitendo.Tukifanya hivyo tutakuwa na uchaguzi wa amani, mabadiliko ya serikali ya amani na taifa linalosimama pamoja.”

RelatedPosts

BABA MWENYE NYUMBA AFUMANIWA NA MKE WA MPANGAJI WAKE

BABA MWENYE NYUMBA AFUMANIWA NA MKE WA MPANGAJI WAKE

Mar 24, 2023

WANAOKULA HADHARANI MCHANA WA RAMADHANI KUKAMATWA

Mar 24, 2023

HII KALI : KUISHI CHINI YA MAJI SIKU 100 KISA KUTAFUTA REKODI HII

Mar 24, 2023
Load More

Kauli mbiu ya ibada ya kitaifa kwa mwaka huu ni mabadiliko au mapito inayoendana na uchaguzi mkuu ujao wa Agosti wakati serikali mpya itachukua hatamu. Kwa upande wake Naibu wa rais William Ruto aliwaomba waratibu radhi kwa kukiuka itifaki na pia kumtaka Martha Karua kutoa hotuba kwa kushtukizwa.

Kiongozi huyo wa UDA anayewania urais kupitia muungano wa Kenya Kwanza alimuomba pia Rais Uhuru Kenyatta msamaha kwa kutotimiza baadhi ya matarajio kama naibu wake.Anasema anamuomba Mola awasamehe wote aliowakosea na waliomkosea ili waingie kwenye uchaguzi bila kinyongo.

Kwa kawaida rais Uhuru Kenyatta hukaa meza moja na naibu wake ila kwa wakati huu William Ruto alikaa pamoja na spika wa bunge la taifa na yule wa baraza la Senate.Wawili hao ni wanachama wa muungano wa Kenya Kwana anaouwakilisha William Ruto. Wakati huohuo, Rais Uhuru Kenyatta alikuwa pamoja na wawakilishi wa Idara ya mahakama Jaji Mkuu Martha Koome na Mwanasheria mkuu Paul Kihara.

Kwenye hotuba yake ya mwisho kama rais katika ibada ya taifa, Uhuru Kenyatta alisisitiza kuwa wakati utakapofika atakikabidhi madaraka kikosi cha washindi wa uchaguzi mkuu wa Agosti mwaka huu.

ADVERTISEMENT

“Tunapojiandaa kwa uchaguzi ujao,tunajua kuwa ujenzi wa taifa ni wajibu wa kupokezana kutokea kizazi kimoja hadi chengine bila dosari nami natarajia kufanya vivyo hivyo.”

ADVERTISEMENT

Ibada ya taifa ilifanyika kwenye hoteli ya kifahari ya Safari Park zikiwa zimesalia siku 74 kabla ya uchaguzi mkuu wa Agosti.TM,DW Nairobi.

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

BABA MWENYE NYUMBA AFUMANIWA NA MKE WA MPANGAJI WAKE
HABARI

BABA MWENYE NYUMBA AFUMANIWA NA MKE WA MPANGAJI WAKE

by Shabani Rapwi
Mar 24, 2023
WANAOKULA HADHARANI MCHANA WA RAMADHANI KUKAMATWA
HABARI

WANAOKULA HADHARANI MCHANA WA RAMADHANI KUKAMATWA

by Shabani Rapwi
Mar 24, 2023
HII KALI : KUISHI CHINI YA MAJI SIKU 100 KISA KUTAFUTA REKODI HII
HABARI

HII KALI : KUISHI CHINI YA MAJI SIKU 100 KISA KUTAFUTA REKODI HII

by Shabani Rapwi
Mar 24, 2023
WANAUME WANAONYANYUA VITU VIZITO WATAJWA RIJALI ZAIDI
HABARI

WANAUME WANAONYANYUA VITU VIZITO WATAJWA RIJALI ZAIDI

by Shabani Rapwi
Mar 24, 2023
MWALIMU JELA MIAKA 30 KWA KUMLAWITI MWANAFUNZI
HABARI

MWALIMU JELA MIAKA 30 KWA KUMLAWITI MWANAFUNZI

by ALFRED MTEWELE
Mar 24, 2023
BENKI YA NBC YAZINDUA KAMPENI YA MKEKA WA USHINDI NA ATM ZA NBC
HABARI

BENKI YA NBC YAZINDUA KAMPENI YA MKEKA WA USHINDI NA ATM ZA NBC

by I am Krantz
Mar 24, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
May 2022
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In