ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Wednesday, June 29, 2022
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

SABABU ZA KUTOKWA UCHAFU UKENI NA TIBA YAKE

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
May 31, 2022
in HABARI
0
SABABU ZA KUTOKWA UCHAFU UKENI NA TIBA YAKE
0
SHARES
87
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

 

RelatedPosts

R KELLY AHUKUMIWA MIAKA 30 JELA

R KELLY AHUKUMIWA MIAKA 30 JELA

Jun 29, 2022

POLISI 156 WAFUKUZWA MAFUNZONI

Jun 29, 2022

VIGOGO WA CHAMA CHA WALIMU WAHUKUMIWA MIEZI 6 JELA

Jun 29, 2022
Load More
Kutokwa Na uchafu ukeni Ni sababu tosha itakayomfanya mwanamke asijisikie huru wakati wote!. Kuna sababu nyingi zinazopelekea tatizo hili kutokea;
–

Maambukizi katika uke ni tatizo la kawaida kwa wanawake na wanawake wengi wameshapata tatizo la maambukizi angalau mara moja katika maisha yao.

–

ADVERTISEMENT

Ukiona yafuatayo, ujue unaweza kuwa na tatizo la maambukizi ya vijijidudu vya maradhi katika uke wako:

Kutokwa a uchafu ukeni kunakoambatana na kuwashwa au vijipele, kutokwa na uchafu ukeni ambako ni endelevu na kwa kiwango kinachozidi kila siku, kusikia maumivu wakati wa kutoa haja ndogo, kutokwa na uchafu mweupe, mzito kama jibini, uchafu wa kijivu/mweupe au njano/kijani unaotoa harufu mbaya.

–

ADVERTISEMENT

 AINA YA UCHAFU USIO WA KAWAIDA

-Kitu chochote kitakachoharibu uwiano wa bacteria wa kawaida waishio katika uke kinaweza, kuleta mabadiliko katika rangi, harufu au muundo wa uchafu utakaotoka katika uke.

-Uchafu wenye damu na rangi ya kahawia ni dalili ya mzungumko wa mwezi wa mwanamke uliovurugika na mara chache ni dalili ya kansa ya Cervix au aina nyingine ya kansa iitwayo Endometrial Cancer. Mwanamke mwenye tatizo hili atatoa damu nyingi ukeni na kuumwa nyonga.

-Mwanamke akitokwa na uchafu wenye rangi ya mawingu au njano hiyo ni dalili ya ugonjwa wa kisonono (Gonorrhea). Mwanamke atatokwa na damu katikati ya siku zake, atatokwa na mkojo bila kukusudia na kupata maumivu ya nyonga.

-Mwanamke akitokwa na uchafu wa rangi ya kijani ikiambatana na harufu mbaya na ikiwa uchafu utatoka kama mapovu, wenye rangi ya kijani au njano ukiambatana na harufu mbaya, hii ni dalili ya Trichomoniasis, maambukizi (parasitic) yanayotokana na ngono zembe.

 -Dalili nyigine ni maumivu na kuwashwa wakati wa kutoa haja ndogo.

 -Ukitoka uchafu mweupe mzito kama maziwa mtindi hiyo ni dalili ya maambukizi ya aina ya fungus (Yeast Infection) na dalili nyingine atakazozisikia mwanamke huyu ni kuvimba na maumivu kwenye sehemu za nje za siri (vulva) na kuwashwa na maumivu wakati wa kufanya tendo la ndoa.

-Lakini uchafu ukiwa mweupe au kijivu wenye harufu kama ya samaki hiyo ni dalili za maambukizi ya Bacterial Vaginosis.

 Mwanamke mwenye tatizo hili atasikia miwasho au maumivu, kuvimba kwa uke au sehemu ya nje ya uke (vulva).

 -Maambukizi ya Bacterial Vaginosis, Trichomoniasis na Monilia (Yeast) Infection nitachambua kwa ufupi kila moja na kueleza tiba yake.

 -Bacterial Vaginosis: Kinachosababisha tatizo hili kitabibu hakifahamiki.

 -Kinachotokea ni kuongezeka kwa ghafla kwa idadi ya bakteria hawa ambao ni kawaida kupatikana kwenye uke na kubadilisha uwiano wao kwenye mazingira ya uke.

 -Wanawake wenye wapenzi wengi ambao hujamiiana nao au wanaofanya mapenzi kupitia midomo (oral sex) wanakuwa kwenye hatari kubwa zaidi ya kupata maambukizi ya Bacterial Vaginosis.

-Dalili za Bacterial Vaginosis ni kuongezeka kwa uchafu unaotoka ukeni kama tulivyosema, kutokwa na uchafu wa kijivu/mweupe, mwepesi au wa majimaji, harufu kama ya samaki ikiambatana na uchafu na harufu inayozidi au uchafu unaozidi mara baada ya kufanya tendo la ndoa.

 TIBA YAKE

Tiba kwa tatizo la bacterial vaginosis zipo za aina mbili.

 -Tiba ya aina ya kwanza ni kutumia dawa iitwayo metronidazole (Flagyl) na tiba ya pili ni kutumia dawa ya kuua bakteria (antibiotic) ya vidonge au ya cream.

-Trichomoniasis: Maambukizi haya hutokana na aina ya protozoa wa seli moja. Trichomoniasis mara nyingi huambukizwa kwa kufanya ngono. Protozoa huyu huweza kukaa kwenye mazingira ya unyevunyevu kwa muda wa saa 24 bila kufa hivyo kufanya taulo na nguo nyingine za kuogea kuwa chanzo kingine kikuu cha maambukizi.

Ukijiona Na tatizo Kama hili Ni vyema kwanza kumuona daktari kwa ushauri Na tiba zaidi.

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Shabani Rapwi (Kijana Mchapa Kazi) WhatsApp; 0689232546 Email ;shabanimohamed932@gmail.com

Related Posts

R KELLY AHUKUMIWA MIAKA 30 JELA
HABARI

R KELLY AHUKUMIWA MIAKA 30 JELA

by Shabani Rapwi
Jun 29, 2022
POLISI 156 WAFUKUZWA MAFUNZONI
HABARI

POLISI 156 WAFUKUZWA MAFUNZONI

by Shabani Rapwi
Jun 29, 2022
VIGOGO WA CHAMA CHA WALIMU WAHUKUMIWA MIEZI 6 JELA
HABARI

VIGOGO WA CHAMA CHA WALIMU WAHUKUMIWA MIEZI 6 JELA

by Shabani Rapwi
Jun 29, 2022
MAHAKAMA YATOA AMRI KESI HALIMA MDEE NA WENZAKE
HABARI

MAHAKAMA YATOA AMRI KESI HALIMA MDEE NA WENZAKE

by Shabani Rapwi
Jun 29, 2022
RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI HUU
HABARI

RAIS SAMIA ATEUA MKUU WA MAJESHI YA ULINZI

by Shabani Rapwi
Jun 29, 2022
MPOLE AMFUNIKA MAYELE LIGI KUU YA NBC 2021/22
HABARI

MPOLE AMFUNIKA MAYELE LIGI KUU YA NBC 2021/22

by Shabani Rapwi
Jun 29, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
May 2022
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In