ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Wednesday, June 29, 2022
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Serikali yatambua mchango wa NMB kuendeleza wabunifu nchini

I am Krantz by I am Krantz
May 21, 2022
in HABARI
0
Serikali yatambua mchango wa NMB kuendeleza wabunifu nchini
0
SHARES
55
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

RelatedPosts

NMB YAZINDUA KIFURUSHI MAALUM KWAAJILI YA WALIMU

NMB YAZINDUA KIFURUSHI MAALUM KWAAJILI YA WALIMU

Jun 23, 2022

Benki ya NMB yasaidia ukusanyaji wa Trilioni 8.6 za Serikali

Jun 23, 2022

NMB yakabidhi Vifaa vya Usafi – Dodoma

Jun 16, 2022
Load More
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Philip Mpango akikabidhi Cheti kwa Mkuu wa Idara ya Ubunifu wa Benki ya NMB, Josina Njambi na Mkuu wa Idara za Serikali na Ofisi ndogo za Makao Makuu Dodoma wa NMB, Vicky Bishubo kwa kutambua mchango wa benki hiyo kwa kuendeleza shughuli za ubunifu, wakati wa kilele cha maadhimisho ya wiki ya Ubunifu Kitaifa, iliyofanyika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. Kushoto ni Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa na kulia ni Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia-Profesa Adolf Mkenda
Maafisa wa NMB katika picha ya pamoja wakati wa kilele cha maadhimisho ya wiki ya Ubunifu Kitaifa, iliyofanyika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango ameikabidhi Benki ya NMB cheti cha kutambua mchango wa benki hiyo katika kuendeleza shughuli za ubunifu nchini kwa kuwa moja ya wadhamini waliowezesha maonesho ya Wiki ya Ubunifu Kitaifa katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.
Tuzo hiyo imepokelewa na Mkuu wa Idara ya Ubunifu wa NMB, Josina Njambi pamoja na Mkuu wa Idara huduma za serikali na Ofisi ndogo za Makao Makuu Dodoma wa NMB, Vicky Bishubo wakati wa kuwapatia vyeti wadhamini mbalimbali pamoja na wabunifu.
Aidha, kabla ya kukabidhiwa tuzo hiyo, Makamu wa Rais Dkt Mpango alitembelea banda la NMB ambapo alielezwa na Mkuu wa Idara ya Ubunifu, Josina Njambi kuhusu fursa ambayo benki ya NMB imewaletea wabu
nifu kupitia mfumo wa NMB Sandbox Environment.
“Tumewaletea mfumo huu kwa kuwapa nafasi wabunifu wenye suluhishi za kifedha kufanyia majaribio ya masuluhisho yao na kisha kuwasaidia wabunifu hawa kuingia sokoni.” alisema Josina na
na kuongeza kuwa;

“Mpaka sasa wapo wabunifu zaidi ya 150 ambao wanaendelea kufanya majaribio ya suluhishi zao mbalimbali,” alisema Josina.

MWISHO

…………………………………………………………
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

Tags: NMB
ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

R KELLY AHUKUMIWA MIAKA 30 JELA
HABARI

R KELLY AHUKUMIWA MIAKA 30 JELA

by Shabani Rapwi
Jun 29, 2022
POLISI 156 WAFUKUZWA MAFUNZONI
HABARI

POLISI 156 WAFUKUZWA MAFUNZONI

by Shabani Rapwi
Jun 29, 2022
VIGOGO WA CHAMA CHA WALIMU WAHUKUMIWA MIEZI 6 JELA
HABARI

VIGOGO WA CHAMA CHA WALIMU WAHUKUMIWA MIEZI 6 JELA

by Shabani Rapwi
Jun 29, 2022
MAHAKAMA YATOA AMRI KESI HALIMA MDEE NA WENZAKE
HABARI

MAHAKAMA YATOA AMRI KESI HALIMA MDEE NA WENZAKE

by Shabani Rapwi
Jun 29, 2022
RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI HUU
HABARI

RAIS SAMIA ATEUA MKUU WA MAJESHI YA ULINZI

by Shabani Rapwi
Jun 29, 2022
MPOLE AMFUNIKA MAYELE LIGI KUU YA NBC 2021/22
HABARI

MPOLE AMFUNIKA MAYELE LIGI KUU YA NBC 2021/22

by Shabani Rapwi
Jun 29, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
May 2022
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In