ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Friday, March 24, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

SHAKA ATOA SIKU 7 KWA VIONGOZI WA SOKO LA FERI KUMALIZA CHANGAMOTO ZAO

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
May 25, 2022
in HABARI
0
SHAKA ATOA SIKU 7 KWA VIONGOZI WA SOKO LA FERI KUMALIZA CHANGAMOTO ZAO
0
SHARES
136
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

RelatedPosts

BABA MWENYE NYUMBA AFUMANIWA NA MKE WA MPANGAJI WAKE

BABA MWENYE NYUMBA AFUMANIWA NA MKE WA MPANGAJI WAKE

Mar 24, 2023

WANAOKULA HADHARANI MCHANA WA RAMADHANI KUKAMATWA

Mar 24, 2023

HII KALI : KUISHI CHINI YA MAJI SIKU 100 KISA KUTAFUTA REKODI HII

Mar 24, 2023
Load More

Katibu wa NEC, itikadi na uenezi wa Chama cha Mapinduzi CCM, Shaka Hamdu Shaka, ametoa muda wa Siku Saba kwa Viongozi wa Soko la Samaki Feri pamoja na Wafanyabiashara katika eneo hilo kurejea kwenye meza ya mazungumzo ili kuangalia namna ya Kutatua Changamoto ambazo zipo kwenye Soko hilo la Samaki ambalo lipo Jijini Dar es Salaam.

–

Shaka ametoa kauli hiyo leo Mei 25, 2022 wakati wa ziara yake katika Soko hilo la Samaki Feri.

ADVERTISEMENT

Akizungumza na Wafanyabishara wa Soko hilo la Samaki amewataka kuishi kwa kwa kuzingatia maono, Dira pamoja na uwajibikiaji ambao umekuwa ukisisitizwa na Rais Samia Suluhu Hassan.

–

“Nataka niwaambie ndugu nimetoa Siku Saba ili mkae chini na mmalize changamoto zenu, kisha mtakayo kubaliana Myafikishe Serikali na Kwenye Ngazi za Chama cha Mapinduzi CCM” amesisitiza Shaka.

ADVERTISEMENT

Kwa Upande wake mkuu wa Wilaya ya Ilala Ludigija Ng’wilabuzu amemueleza Katibu huyo wa NEC, Itikadi na Uenezi namna ambavyo Serikali ya Rais Samia Suluhu imekuwa ikisogeza huduma za Kijamii kwa Wananchi ikiwemo Upatikanaji wa Maji Safi na Salama, huduma za Afya pamoja Uboreshaji wa Sekta ya Elimu.

–

“Pamoja na hayo Serikali imekuwa ikitekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020-2025, imekuwa na mpango mzuri kwa ajili ya Wafanyabiashara ndogo ndogo kwa kuwawezesha kupata Fedha zinazotokana na Mikopo inayotolewa kupitia halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam” amesema Mkuu wa Wilaya Ludigija Ng’wilabuzu.

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

BABA MWENYE NYUMBA AFUMANIWA NA MKE WA MPANGAJI WAKE
HABARI

BABA MWENYE NYUMBA AFUMANIWA NA MKE WA MPANGAJI WAKE

by Shabani Rapwi
Mar 24, 2023
WANAOKULA HADHARANI MCHANA WA RAMADHANI KUKAMATWA
HABARI

WANAOKULA HADHARANI MCHANA WA RAMADHANI KUKAMATWA

by Shabani Rapwi
Mar 24, 2023
HII KALI : KUISHI CHINI YA MAJI SIKU 100 KISA KUTAFUTA REKODI HII
HABARI

HII KALI : KUISHI CHINI YA MAJI SIKU 100 KISA KUTAFUTA REKODI HII

by Shabani Rapwi
Mar 24, 2023
WANAUME WANAONYANYUA VITU VIZITO WATAJWA RIJALI ZAIDI
HABARI

WANAUME WANAONYANYUA VITU VIZITO WATAJWA RIJALI ZAIDI

by Shabani Rapwi
Mar 24, 2023
MWALIMU JELA MIAKA 30 KWA KUMLAWITI MWANAFUNZI
HABARI

MWALIMU JELA MIAKA 30 KWA KUMLAWITI MWANAFUNZI

by ALFRED MTEWELE
Mar 24, 2023
BENKI YA NBC YAZINDUA KAMPENI YA MKEKA WA USHINDI NA ATM ZA NBC
HABARI

BENKI YA NBC YAZINDUA KAMPENI YA MKEKA WA USHINDI NA ATM ZA NBC

by I am Krantz
Mar 24, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
May 2022
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In