Baraza Kuu la Muungano wa Falme za Kiarabu UAE limemchagua Mwanamfalme wa Abu Dhabi, Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan kuwa Rais wa UAE.
–
ADVERTISEMENT
Sheikh Mohamed bin Zayed mwenye umri wa miaka 61 anakuwa Rais wa tatu wa UAE kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais Sheikh Khalifa bin Zayed Al Nahyan siku ya Ijumaa Mei 13, 2022.
ADVERTISEMENT