ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, April 1, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

SIMBA WAANZE UPYA KWA KUFANYA MAMBO HAYA

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
May 4, 2022
in HABARI
0
SIMBA WAANZE UPYA KWA KUFANYA MAMBO HAYA
0
SHARES
192
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Ameandika Mpekeo Mtandala

RelatedPosts

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

Apr 1, 2023

GARI LA KIFAHARI ZAIDI NA LENYE THAMANI KUBWA

Apr 1, 2023

ONYANGO AOMBEWA MSAMAHA KWA ALICHOFANYA

Apr 1, 2023
Load More

Simba Sports Club kwa sasa wanatakiwa kuwekeza nguvu Kubwa kuelekea msimu ujao ili wawe na kikosi imara cha kushindana katika Ligi pia katika michuano ya Kimataifa.

Simba Sports Club lazima watafute nyote wengine wapya wa kiwango cha juu zaidi ambao watawavusha kutoka hatua ya Robo Fainali kule katika Michuano ya CAF hadi Nusu fainali ya Michuano ile kwa sababu kwa aina ya wachezaji walionao hivi sasa siwaoni Simba wakipenya zaidi ya Robo hata kama wataendelea kuwa nao.

Simba wanapofanya usajili wanatakiwa kuangalia mbali zaidi kwa kusajili mchezaji ambaye atakuja katika klabu yao na kuwaongezea nguvu katika michuano ya Kimataifa ili waendelee kulinda heshima yao katika michuano ile.

ADVERTISEMENT

Unaweza ukafanya usajili mzuri lakini ukawa usajili wa kushindana hapa ndani tuu lakini linapokuja swala la International Competition wewe unageuka njia ya watu kuvuka na kwenda hatua inayo fuata.

Ili ndoto ya Simba SC itimie lazima waende sokoni kununua wachezaji wa kiwango cha juu zaidi ambao watawavusha kutoka Robo Fainali hadi kusogea mbele zaidi kwa sasa Simba hawatakiwi kumwangalia usoni mtu kama ameshindwa kuleta mafanikio mliyo yategemea katika kikosi chenu achana naye leta wengine ambao wataisogeza timu mbele zaidi.

Kumbuka kila kitu kinapojengwa wengi huhusika katika ujenzi lakini watakao faidi ni wengine Simba SC kwa sasa hawana budi kubomoa kikosi Chao kwa mafanikio zaidi Kimataifa.

Ili Ndoto ya Simba SC itimie Kimataifa kutinga Nusu fainali ama fainali lazima hiki kikosi cha sasa wabaki wachezaji wachache tuu zije sura nyingi mpya za kuleta kitu kipya ndani ya klabu hii hawa wa sasa hawatawafikisha mbali kama ambavyo wao wanataka.

ADVERTISEMENT

Related

Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI
HABARI

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
GARI LA KIFAHARI ZAIDI NA LENYE THAMANI KUBWA
HABARI

GARI LA KIFAHARI ZAIDI NA LENYE THAMANI KUBWA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
ONYANGO AOMBEWA MSAMAHA KWA ALICHOFANYA
HABARI

ONYANGO AOMBEWA MSAMAHA KWA ALICHOFANYA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
KOCHA NABI NA WACHEZAJI HAWA KUKOSA MCHEZO DHIDI YA MAZEMBE, SABABU YATAJWA
HABARI

KOCHA NABI NA WACHEZAJI HAWA KUKOSA MCHEZO DHIDI YA MAZEMBE, SABABU YATAJWA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
TANI 20.6 ZA BANGI ZIMEKAMATWA 2022
HABARI

TANI 20.6 ZA BANGI ZIMEKAMATWA 2022

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
SAFU YA ULINZI IMEWAANGUSHA SIMBA
HABARI

SAFU YA ULINZI IMEWAANGUSHA SIMBA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
May 2022
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In