Mwigizaji na Mfanyabiashara nchini Tanzania, Jacqueline Wolper ameandika ujumbe huu katika ukurasa wake wa Instagram
“Maombi yangu Ni kwakila mwanamke Mwenye uhitaji wa Mtoto Basi Mungu Akamjalie Na akaitwe Mama, nasema wenye uhitaji kwa sababu siyo wote wanatamani kuitwa Mama..
so Barikiwa leo in jesus Name pokea Na ikawe kweli kwa kumuamini yeye aliye juu🙏
Asante Mungu kwakunifanya kuwa Mama na Me ni Mama wa mtu sasa Nafurahia Baraka hii Nakuiombea kila siku Naukazidi kunipa uzao nisiishie hapa Tuu nikawe mama wawatoto kadha kwa Baraka zako Naamini inawezekana🙏
Mungu nilindie huyu kijana shetani akae mita nyingi sana ili akawe Baba wa watoto nimpe zawadi hizi yeye Tuu aliyeniheshimisha kuwa mama leo🥲❤️ @richmitindo @mitindojr ❤️🙏” – Wolper