ADVERTISEMENT
Shirikisho la Soka barani Ulaya UEFA imekubali mabadiliko ya kutoa nafasi mbili za Ligi ya Mabingwa kwa mataifa yenye vilabu vilivyofanya vizuri zaidi kwenye michuano ya Ulaya msimu huo, (vyenye mgawo mkubwa) kuanzia msimu wa 2024/2025.
–
Uamuzi huo, unapoteza mpango uliokuwa ukitajwa mwanzo wa kutoa nafasi mbili kwa vilabu vilivyo na mgawo wa juu zaidi, mfano kwa msimu ujao kwa Ligi Kuu Uingereza, wangekuwa Manchester United ambao wameshindwa kufuzu
ADVERTISEMENT