ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, March 28, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

WAANDISHI WA HABARI TUMIENI KALAMU ZENU KUTANGAZA FURSA NA MATARAJIO YA MIPANGO YA SERIKALI- RC KUNENGE

Ally Hamis Zingizi by Ally Hamis Zingizi
May 16, 2022
in HABARI
0
WAANDISHI WA HABARI TUMIENI KALAMU ZENU KUTANGAZA FURSA NA MATARAJIO YA MIPANGO YA SERIKALI- RC KUNENGE
0
SHARES
133
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

RelatedPosts

DC JOKATE MWEGELO AZURU NCHINI AFRIKA KUSINI KUTANGAZA FURSA ZAO LA MKONGE

DC JOKATE MWEGELO AZURU NCHINI AFRIKA KUSINI KUTANGAZA FURSA ZAO LA MKONGE

Mar 28, 2023

MBUNGE ATOA MAJIKO YA GESI 700 KWA WANAWAKE WAJASIRIAMALI

Mar 28, 2023

TAIFA STARS YAAHIDI KUENDELEZA ILIPOISHIA

Mar 28, 2023
Load More

Na Mwandishi Wetu, Pwani
Mkuu wa mkoa wa Pwani, Abubakari Kunenge ,ametoa Rai kwa waandishi wa habari, kutumia kalamu zao kuwaelimisha wananchi mazuri yanayofanywa na Serikali na kutangaza fursa na matarajio makubwa ya mipango ya Serikali.
Aidha amewataka waandishi wa habari kushirikiana na mkoa kutangaza fursa za kiuchumi na uwekezaji zilizopo ili iwe kimbilio la wawekezaji.
Akizungumza katika maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Vyombo Vya Habari Cha Chama Cha waandishi wa habari Mkoani humo, Kunenge alieleza ,endapo wadau ,wangetaka kulipwa gharama ya kazi wanayofanya Basi tusingeweza kurudisha fadhila.
Hata hivyo Alibainisha, mkoa umedhamiria kuufungua Mkoa ,mkoa unakwenda kubadilika katika sekta ya uchumi na uwekezaji.
“Kuna eneo la Kwala ,Tuna kwenda kufungua Mji Kuwa Mji wenye fursa mbalimbali za uwekezaji,Kuna mkakati wa kuboresha Mji huo kwa uwekezaji na kuboresha miundombinu ya maji na umeme hata Bagamoyo tuna kazi kubwa ya kuupanga Mji ,Pia Chalinze, Kibaha, Bagamoyo,Mafia tunakwenda kupima Mji wetu kwa maendeleo ya mkoa”
Alieleza mabadiliko hayo yanatakiwa kutangazwa ,jamii ijue fursa zilizopo hauwezi Kuwa na maendeleo ama mipango yenye fursa zisizojulikana.
Kunenge alifafanua,mipango mingi inajulikana ndani ya jamii kutokana na kushirikiana baina ya Serikali na waandishi wa habari.
“Tunapozungumzia uhuru wa vyombo vya habari,Rais kashaeleza msimamo wa Serikali,Cha kwanza sera,tabia yetu, je tunatenda kulingana na sera na Sheria kanuni na taratibu,! je? tunazitekeleza.”
“Tunaweza kusema sheria ,sera kandamizi ,je !sisi watendaji tunazifuata .!
“Muwe sehemu ya kunipatia changamoto, kwakuwa Mimi , napimwa na Rais kutokana na namna ya kusimamia ulinzi na Usalama, kero za wananchi ,,kutatua migogoro mbalimbali, kuisemea Serikali mazuri inayofanya ,”alisema Kunenge.
Vilevile aliiasa jamii ,kuwaandaa vijana , wapende kufanya kazi,kwani vijana wanapaswa kubadilika .
Katika hatua nyingine, Mkuu huyo wa mkoa alikiahidi chama hicho kukipa kiwanja bure ili kujenga ofisi ya kudumu.
Mwenyekiti wa Chama Cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Pwani, Ally Hengo alimshukuru Mkuu wa Mkoa kwa kupatiwa kiwanja na kusema wanakwenda kuondokana na hali ya kutangatanga.
Alisema, kwa Sasa wamepanga ofisi na kulipa Kodi lakini wakishapata kiwanja hicho na kukijenga itakuwa mkombozi.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
Ally Hamis Zingizi

Ally Hamis Zingizi

Related Posts

DC JOKATE MWEGELO AZURU NCHINI AFRIKA KUSINI KUTANGAZA FURSA ZAO LA MKONGE
HABARI

DC JOKATE MWEGELO AZURU NCHINI AFRIKA KUSINI KUTANGAZA FURSA ZAO LA MKONGE

by ALFRED MTEWELE
Mar 28, 2023
MBUNGE ATOA MAJIKO YA GESI 700 KWA WANAWAKE WAJASIRIAMALI
HABARI

MBUNGE ATOA MAJIKO YA GESI 700 KWA WANAWAKE WAJASIRIAMALI

by ALFRED MTEWELE
Mar 28, 2023
RAIS SAMIA ATUNUKIWA TUZO NA WANAHABARI, JNICC
HABARI

RAIS SAMIA ATUNUKIWA TUZO NA WANAHABARI, JNICC

by ALFRED MTEWELE
Mar 28, 2023
MFAHAMU MVUVI ALIYEPOTELEA BAHARINI SIKU 438, NA KUKUTWA BADO YUPO HAI
HABARI

MFAHAMU MVUVI ALIYEPOTELEA BAHARINI SIKU 438, NA KUKUTWA BADO YUPO HAI

by ALFRED MTEWELE
Mar 28, 2023
MAKAMU WA RAIS MAREKANI ZIARANI KESHO NCHINI
HABARI

MAKAMU WA RAIS MAREKANI ZIARANI KESHO NCHINI

by ALFRED MTEWELE
Mar 28, 2023
WASANII BONGO WALIOTAJWA PLAYLISTS YA KAMALA
HABARI

WASANII BONGO WALIOTAJWA PLAYLISTS YA KAMALA

by ALFRED MTEWELE
Mar 28, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
May 2022
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In