ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Friday, March 24, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

WAHAMIAJI 44 WAFA MAJI PWANI YA WESTERN SAHARA

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
May 9, 2022
in HABARI
0
WAHAMIAJI 44 WAFA MAJI PWANI YA WESTERN SAHARA
0
SHARES
139
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

 

RelatedPosts

MESUT ÖZIL ATANGAZA KUSTAAFU SOKA

MESUT ÖZIL ATANGAZA KUSTAAFU SOKA

Mar 23, 2023

WABUNGE WAONYA KUWEKEA VIKWAZO SHERIA YA MAPENZI YA JINSIA MOJA

Mar 23, 2023

UWANJA WA NDEGE CHATO KUBORESHWA

Mar 23, 2023
Load More

Wahamiaji 44 wamekufa maji Jumapili wakati boti yao ilipozama katika pwani ya Western Sahara, shirika linalosaidia wahamiaji Caminando Fronteras limesema.

–

Wengine 12 wamenusurika kwenye ajali hiyo mbaya, ambayo ilitokea wakati boti hiyo ilipozama kwenye ufukwe wa Cap Boujdour, afisa wa shirika hilo Helena Maleno ameandika kwenye Twitter.

–

Maleno ameandika kwamba manusura wamekamatwa. Miili ya waathirika saba ilipelekwa ufukweni lakini wengine hawakuweza kupatikana, Maleno ameongeza. Viongozi wa Morocco ambao wanadai eneo hilo lenye utata la Western Sahara kuwa ni sehemu ya taifa hilo la kifalme la Afrika magharibi, hawakuthibitisha mara moja ajali hiyo.

–

Haikufahamika wazi wapi boti hiyo ilikuwa inaelekea, lakini wahamiaji wanaosafiri kutoka eneo hilo hujaribu kufika kwenye visiwa vya Canary nchini Spain. Morocco ni kituo muhimu kinachotumiwa na wahamiaji kama njia ya kusafiri kuelekea Ulaya ili kutafuta maisha bora.

Chanzo : VOT

ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

WABUNGE WAONYA KUWEKEA VIKWAZO SHERIA YA MAPENZI YA JINSIA MOJA
HABARI

WABUNGE WAONYA KUWEKEA VIKWAZO SHERIA YA MAPENZI YA JINSIA MOJA

by ALFRED MTEWELE
Mar 23, 2023
UWANJA WA NDEGE CHATO KUBORESHWA
HABARI

UWANJA WA NDEGE CHATO KUBORESHWA

by ALFRED MTEWELE
Mar 23, 2023
ASHTAKIWA MAHAKAMANI KUWAINGILIA MBUZI KIMWILI
HABARI

ASHTAKIWA MAHAKAMANI KUWAINGILIA MBUZI KIMWILI

by ALFRED MTEWELE
Mar 23, 2023
NMB yatoa msaada wa milioni 39 kuimarisha sekta ya afya na elimu Kanda ya Kati
HABARI

NMB yatoa msaada wa milioni 39 kuimarisha sekta ya afya na elimu Kanda ya Kati

by I am Krantz
Mar 23, 2023
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023
HABARI

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Alhamisi Machi 23,2023

by ALFRED MTEWELE
Mar 23, 2023
YANGA PRINCESS, SIMBA QUEENS HAKUNA MBABE
HABARI

YANGA PRINCESS, SIMBA QUEENS HAKUNA MBABE

by Shabani Rapwi
Mar 22, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
May 2022
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In