ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, March 28, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

WANAFUNZI 76 WANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI YA MOTO KIBAHA

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
May 16, 2022
in HABARI
0
WANAFUNZI 76 WANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI YA MOTO KIBAHA
0
SHARES
124
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

RelatedPosts

DC JOKATE MWEGELO AZURU NCHINI AFRIKA KUSINI KUTANGAZA FURSA ZAO LA MKONGE

DC JOKATE MWEGELO AZURU NCHINI AFRIKA KUSINI KUTANGAZA FURSA ZAO LA MKONGE

Mar 28, 2023

MBUNGE ATOA MAJIKO YA GESI 700 KWA WANAWAKE WAJASIRIAMALI

Mar 28, 2023

TAIFA STARS YAAHIDI KUENDELEZA ILIPOISHIA

Mar 28, 2023
Load More

Wanafunzi 76 wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Mkuza Kibaha Mkoani Pwani wamenusurika katika ajali ya moto iliyotokea usiku wa kuamkia leo Mei 16, 2022 katika bweni la Shule hiyo na kuteketeza mali za Wanafunzi hao ikiwemo nguo, madaftari pamoja na vitabu “Moto huo umetokea wakati Wanafunzi wapo kwenye Ibada hivyo hakuna Mtoto yeyote aliyepata madhara”.

–

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge amefika katika eneo la tukio na kuwatoa hofu Wazazi wasiwe na shaka kwani Watoto wako salama na wameshapata mahali pa kuhifadhiwa, mpaka sasa tayari imeundwa Timu kwa ajili ya kuchunguza tukio hilo.

–

ADVERTISEMENT

Kamanda wa Zimamoto Mkoa Pwani, Jenipher Shirima amethibitisha kutokea Kwa tukio hilo na kutoa rai Kwa Wananchi kutoa taarifa Kwa wakati Ili kudhibiti moto au kupunguza athari za moto pindi unapotokea.

ADVERTISEMENT

–

Askofu Mkuu wa Kanisa la KKKT (Wamiliki wa Shule hiyo), Dr. Alex Malasusa ameushukuru Uongozi wa Mkoa wa Pwani pamoja na Vyombo vya Ulinzi na Usalama kwa ushirikiano wao katika tukio hilo.

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

DC JOKATE MWEGELO AZURU NCHINI AFRIKA KUSINI KUTANGAZA FURSA ZAO LA MKONGE
HABARI

DC JOKATE MWEGELO AZURU NCHINI AFRIKA KUSINI KUTANGAZA FURSA ZAO LA MKONGE

by ALFRED MTEWELE
Mar 28, 2023
MBUNGE ATOA MAJIKO YA GESI 700 KWA WANAWAKE WAJASIRIAMALI
HABARI

MBUNGE ATOA MAJIKO YA GESI 700 KWA WANAWAKE WAJASIRIAMALI

by ALFRED MTEWELE
Mar 28, 2023
RAIS SAMIA ATUNUKIWA TUZO NA WANAHABARI, JNICC
HABARI

RAIS SAMIA ATUNUKIWA TUZO NA WANAHABARI, JNICC

by ALFRED MTEWELE
Mar 28, 2023
MFAHAMU MVUVI ALIYEPOTELEA BAHARINI SIKU 438, NA KUKUTWA BADO YUPO HAI
HABARI

MFAHAMU MVUVI ALIYEPOTELEA BAHARINI SIKU 438, NA KUKUTWA BADO YUPO HAI

by ALFRED MTEWELE
Mar 28, 2023
MAKAMU WA RAIS MAREKANI ZIARANI KESHO NCHINI
HABARI

MAKAMU WA RAIS MAREKANI ZIARANI KESHO NCHINI

by ALFRED MTEWELE
Mar 28, 2023
WASANII BONGO WALIOTAJWA PLAYLISTS YA KAMALA
HABARI

WASANII BONGO WALIOTAJWA PLAYLISTS YA KAMALA

by ALFRED MTEWELE
Mar 28, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
May 2022
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In