Msanii wa Singeli, Dulla Makabila amesema kuwa wasanii wengi wa muziki huo wakija kwenye fani hupotea haraka kwa sababu wao wanawaza kushindana na yeye kitu ambacho hawakiwezi na ndio maana yeye ni msanii wa muziki huo aliyekaa muda mrefu kwenye fani tofauti na wasanii wengine wanaotamba kwa muda mfupi na kupotea.
–
Akiongea na kipindi cha Planet Bongo, Makabila amesema “Mimi kazi yangu kushindana nao tu kwa sababu kila anayekuja ananishambulia, namsukumizia misumari anashindwa kujibu mapigo anapotea, ndio mziki ulivyo”.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT