ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Friday, June 9, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

VIFO MILIONI 8 KWA UVUTAJI WA SIGARA

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
May 22, 2022
in HABARI
0
VIFO MILIONI 8 KWA UVUTAJI WA SIGARA

An Indian man smokes a cigarette in New Delhi on May 31, 2013. Observed around the world every year on May 31, World No Tobacco Day created by the World Health Organisation (WHO) this year has the theme "Ban Tobacco Advertising, Promotion and Sponsorship". AFP PHOTO/ Prakash SINGH

0
SHARES
278
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

 

RelatedPosts

KARIM BENZEMA ATAMBULISHWA RASMI AL-ITTIHAD

KARIM BENZEMA ATAMBULISHWA RASMI AL-ITTIHAD

Jun 9, 2023

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 9, 2023

Jun 9, 2023

TRA YAUJUZA UMMA KUWA USAJILI WA TIN INAYOSISITIZWA NI KAMA NIDA, SIO ILE YA BIASHARA

Jun 8, 2023
Load More

Mamlaka ya Chakula na Dawa (TMDA) imewaonya Watumiaji wa sigara, ugoro na tumbaku dhidi ya athari za kiafya wanazoweza kuzipata ambapo imesema Watu Milioni 8 hufariki kwa mwaka kutokana na Kansa zinazosababishwa na uvutaji sigara huku Watu Mil 1.2 wanaokaa jirani na wavuta sigara wakipata madhara bila ya wao kujijua.

 

–

Akizungumza Mkoani Mtwara, Meneja wa TMDA Kanda ya Kusini Dr. Engelbert Mbekenga amesema kwa mujibu wa tafiti za Shirika la Afya Duniani (WHO) takribani Watu Milioni 8 Duniani wanakufa kutokana na Kansa zinazosababishwa na uvutaji wa sigara na 80% ya vifo hivyo vinapatikana katika Nchi zenye uchumi wa chini Tanzania ikiwemo”

ADVERTISEMENT

–

“Watu Mil 1.2 wamepata madhara bila wenyewe kujua kwasababu ya kukaa jirani na wavuta sigara na wakati wenyewe hawavuti, kuna umuhimu wa kutoa taarifa kwa wale wanaotaka kuvuta wavute eneo lililojitenga na wengine ili wasiotumia wasipate madhara”

–

“Kuna madhara makubwa yanayotokana na uvutaji wa sigara ikiwemo Kansa inayoshamnulia eneo la upumuaji, kubadilika kwa meno kuwa machafu wakati wote na msongo wa mawazo”

ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 9, 2023
HABARI

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 9, 2023

by ALFRED MTEWELE
Jun 9, 2023
TRA YAUJUZA UMMA KUWA USAJILI WA TIN INAYOSISITIZWA NI KAMA NIDA, SIO ILE YA BIASHARA
HABARI

TRA YAUJUZA UMMA KUWA USAJILI WA TIN INAYOSISITIZWA NI KAMA NIDA, SIO ILE YA BIASHARA

by ALFRED MTEWELE
Jun 8, 2023
DR. MPANGO ATILIA MKAZO JITIHADA ZA KULINDA HIFADHI YA BAHARI NA RASILIMALI ZAKE
HABARI

DR. MPANGO ATILIA MKAZO JITIHADA ZA KULINDA HIFADHI YA BAHARI NA RASILIMALI ZAKE

by ALFRED MTEWELE
Jun 8, 2023
EWURA YATOA BEI HII KIKOMO YA MAFUTA NCHINI
HABARI

EWURA YATOA BEI HII KIKOMO YA MAFUTA NCHINI

by ALFRED MTEWELE
Jun 8, 2023
RAIS SAMIA AMEFANYA UTEUZI HUU LEO
HABARI

RAIS SAMIA AMEFANYA UTEUZI HUU MPYA LEO

by ALFRED MTEWELE
Jun 8, 2023
MESSI AFUNGUKA SABABU ZA KUIPOTEZEA BARCA
HABARI

MESSI AFUNGUKA SABABU ZA KUIPOTEZEA BARCA

by ALFRED MTEWELE
Jun 8, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
May 2022
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In