ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, June 27, 2022
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI YAOMBA TRILIONI 3.8

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
May 23, 2022
in HABARI
0
WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI YAOMBA TRILIONI 3.8
0
SHARES
56
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

 

RelatedPosts

Auto Draft

NBC Wanogesha hafla ya kukabidhiwa Kombe Mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC, klabu ya Yanga SC j

Jun 26, 2022

ROSE REE AFUTE PICHA ZOTE ZA MCHUMBA WAKE

Jun 26, 2022

KAJALA ATOA AHAADI NZITO KWA HARMONIZE

Jun 26, 2022
Load More
Serikalli imepanga kutumia shilingi bilioni 468 kutoka mfuko mkuu kwa ajili ya kutekeleza shughuli za kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) katika mwaka wa fedha wa 2022/2023.

–

Miongoni mwa shughuli zitakazotekelezwa ni kukamilisha malipo ya ununuzi wa ndege tano mpya ambapo ndege moja ni aina ya Boeing 787-8 Dreamliner, ndege mbili aina ya Boeing 737-9, ndege moja ya mizigo aina ya Boeing 767-300F na ndege moja aina ya Dash 8 Q400.

–

Hayo yamesemwa bungeni jijini Dodoma na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa wakati akiwasilisha bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023. Pia amegusia mikakati ya serikali kwa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) katika mwaka wa fedha wa 2022/2023.

–

“Serikali imetenga jumla ya shilingi bilioni 1.77 kutoka mfuko mkuu wa serikali kwa ajili ya Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kutekeleza ununuzi wa kifaa maalum cha mafunzo ya anga kwa wahudumu wa ndege (Full Motion Cabin Crew Mock Up), kununua ndege moja yenye injini mbili ya kufundishia marubani, kujenga kampasi kwa ajili ya kufundisha watalaamu wa bahari na mafuta/gesi katika mkoa wa Lindi na kukamilisha ujenzi wa jengo la maktaba – NIT Mabibo.” amesema Profesa Makame.

–

Katika mwaka wa fedha wa 2022/2023 wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeomba kupatiwa zaidi ya shilingi trilioni 3.8 kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu yake mbalimbali.

ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Shabani Rapwi (Kijana Mchapa Kazi) WhatsApp; 0689232546 Email ;shabanimohamed932@gmail.com

Related Posts

Auto Draft
HABARI

NBC Wanogesha hafla ya kukabidhiwa Kombe Mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC, klabu ya Yanga SC j

by I am Krantz
Jun 26, 2022
ROSE REE AFUTE PICHA ZOTE ZA  MCHUMBA WAKE
HABARI

ROSE REE AFUTE PICHA ZOTE ZA MCHUMBA WAKE

by Shabani Rapwi
Jun 26, 2022
KAJALA ATOA AHAADI NZITO KWA HARMONIZE
HABARI

KAJALA ATOA AHAADI NZITO KWA HARMONIZE

by Shabani Rapwi
Jun 26, 2022
HUYU NDIYO MWENYE WAFUASI WENGI ZAID TIKTOK
HABARI

HUYU NDIYO MWENYE WAFUASI WENGI ZAID TIKTOK

by Shabani Rapwi
Jun 26, 2022
ALICHO KISEMA LUKAMBA KUHUSU HARMONIZE
HABARI

ALICHO KISEMA LUKAMBA KUHUSU HARMONIZE

by Shabani Rapwi
Jun 26, 2022
CRDB BANK PAMOJA BONANZA ILIVYOFANA JIJINI DODOMA
BIASHARA

CRDB BANK PAMOJA BONANZA ILIVYOFANA JIJINI DODOMA

by I am Krantz
Jun 26, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
May 2022
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In