Msanii wa bongo fleva, kutokea Lebo ya WCB Zuhura maarufu zuchu kupitia ukurasa wake wa Twitter ameomba radhi kwa shabiki zake kwa usumbufu wa nyimbo yake mpya anayotarajia kuiachia hivi karibuni na kuomba mshabiki wajiandae kisaikolojia kwaajili ya kuipokea ngoma hiyo ambayo itakuwa hit song.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT