ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Friday, March 24, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

ACHOMWA KISU KWA KUDAI ELFU 1

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Jun 10, 2022
in HABARI
0
ACHOMWA KISU KWA KUDAI ELFU 1
0
SHARES
240
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

RelatedPosts

BABA MWENYE NYUMBA AFUMANIWA NA MKE WA MPANGAJI WAKE

BABA MWENYE NYUMBA AFUMANIWA NA MKE WA MPANGAJI WAKE

Mar 24, 2023

WANAOKULA HADHARANI MCHANA WA RAMADHANI KUKAMATWA

Mar 24, 2023

HII KALI : KUISHI CHINI YA MAJI SIKU 100 KISA KUTAFUTA REKODI HII

Mar 24, 2023
Load More

Mbaraka Madege muuzaji wa nyama ya kuchoma (Mishkaki) katika mtaa wa Kibedange Halmashauri ya Mji wa Makambako Mkoani Njombe amechomwa na kisu shingoni kwa kosa la kumdai shilingi elfu moja mteja wake.

–

Akizungumza kwa shida huku akiuguza jeraha lake Madege amesema amechomwa na kisu na Mteja wake Oswadi Kihombo aliyekuwa amefika katika eneo lake la kuuzia nyama mara baada ya kukataliwa kupewa nyama baada ya kukopa kutokana na kudaiwa kiasi cha shilingi elfu moja ya nyama ya awali.

–

ADVERTISEMENT

“Alifika kwangu akakopa nyama nikamkatalia kwa kuwa ninamdai elfu moja nyingine, akanivamia tukio lilikuwa ndio hilo ila kwa sasa naendelea vizuri japo shingo inanisumbua”Madege

–

ADVERTISEMENT

Rajabu Shayo ni Mwenyekiti wa Mtaa wa Kibedange amethibitisha kutokea kwa tukio hilo katika Mtaa wake na kufafanua kuwa alifika Hospitali na kukuta kijana huyo akiendelea kupata matibabu huku mtuhumiwa akiwa tayari ameshikiliwa na jeshi la polisi kituo cha Makambako

–

“Kwakweli kama Mtu anatembea na silaha ina maana huyu Mtu ni mbaya angemkosa huyu ina maana angemchoma hata Mtu mwingine ila niwaambie tu Wananchi kuwa dawa ya deni ni kulipa”

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

BABA MWENYE NYUMBA AFUMANIWA NA MKE WA MPANGAJI WAKE
HABARI

BABA MWENYE NYUMBA AFUMANIWA NA MKE WA MPANGAJI WAKE

by Shabani Rapwi
Mar 24, 2023
WANAOKULA HADHARANI MCHANA WA RAMADHANI KUKAMATWA
HABARI

WANAOKULA HADHARANI MCHANA WA RAMADHANI KUKAMATWA

by Shabani Rapwi
Mar 24, 2023
HII KALI : KUISHI CHINI YA MAJI SIKU 100 KISA KUTAFUTA REKODI HII
HABARI

HII KALI : KUISHI CHINI YA MAJI SIKU 100 KISA KUTAFUTA REKODI HII

by Shabani Rapwi
Mar 24, 2023
WANAUME WANAONYANYUA VITU VIZITO WATAJWA RIJALI ZAIDI
HABARI

WANAUME WANAONYANYUA VITU VIZITO WATAJWA RIJALI ZAIDI

by Shabani Rapwi
Mar 24, 2023
MWALIMU JELA MIAKA 30 KWA KUMLAWITI MWANAFUNZI
HABARI

MWALIMU JELA MIAKA 30 KWA KUMLAWITI MWANAFUNZI

by ALFRED MTEWELE
Mar 24, 2023
BENKI YA NBC YAZINDUA KAMPENI YA MKEKA WA USHINDI NA ATM ZA NBC
HABARI

BENKI YA NBC YAZINDUA KAMPENI YA MKEKA WA USHINDI NA ATM ZA NBC

by I am Krantz
Mar 24, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
June 2022
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930  
« May   Jul »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In