Mpiga picha wa Diamond platnumz, Lukambao amesema bado ana namba ya Harmoniz na ameisevu Harmonize WCB. Hata hivyo tangu msanii huyo ameondoka kwenye Lebo ya WCB hajawahi kuwasiliana.
ADVERTISEMENT
–
“Sioni sababu ya kufuta namba yake, sababu wakati nasevu ilikuwa kwa mapenzi mema. Hata boss Chibu ana namba ya Harmonize hawezi kufuta, hakuna sababu ya kufuta namba ya mtu.”
ADVERTISEMENT