ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, June 27, 2022
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Benki ya CRDB yawezesha utengenezwaji wa mfumo wa kutunza taarifa za Diaspora kwa udhamini wa Milioni 100

I am Krantz by I am Krantz
Jun 20, 2022
in BIASHARA
0
Benki ya CRDB yawezesha utengenezwaji wa mfumo wa kutunza taarifa za Diaspora kwa udhamini wa Milioni 100
0
SHARES
24
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetiliana saini hati ya makubaliano kutengeneza mfumo wa kuwatambua watanzania wanaoishi nje ya nchi, utakaofahamika kama ‘Diaspora Digital Hub’, ambao utagharimu jumla ya shilingi milioni 100 zitakazotolewa na Benki ya CRDB, utajumuisha watoa huduma wa Serikali kama; NIDA, UHAMIAJI & TIC pamoja na watoa huduma wengine ambao huduma zao zinawalenga Diaspora.

OTMI4143Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela kwa pamoja na Katibu Mkuu Wizara la Mambo ya Nje na Ushikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Joseph Sokoine, wakitiliana saini hati ya makubaliano baina ya  Benki ya CRDB na Wizara kwa ajili ya utengenezaji wa mfumo wa kidigitali kwa Wantazania waishio nje ya nchi (Diaspora), utakaowawezesha kupata huduma mbalimbali wanazohitaji kutoka nyumbani Tanzania wakiwa  hukohuko ughaibuni. Mfumo huo utajumuisha watoa huduma wa Serikali kama; NIDA, UHAMIAJI & TIC pamoja na watoa huduma wengine ambao huduma zao zinawalenga Diaspora. Hafla hiyo imefanyila leo kwenye ofisi za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, jijini Dar es salaam. Wengine pichani ni wanasheria wa pande zote mbili wakishuhudia.

OTMI4194
OTMI4208Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela kwa pamoja na Katibu Mkuu Wizara la Mambo ya Nje na Ushikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Joseph Sokoine, wakibadilishana hati za makubaliano baina ya Benki ya CRDB na Wizara baada ya kuzisiani kwa ajili ya utengenezaji wa mfumo wa kidigitali jijini DSM ambapo jumla ya shilingi milioni 100 zimetolewa na benki hiyo kuwezesha mfumo huo kwa Wantazania waishio nje ya nchi (Diaspora), ambao utawawezesha kupata huduma mbalimbali wanazohitaji kutoka nyumbani Tanzania wakiwa hukohuko ughaibuni. Mfumo huo utajumuisha watoa huduma wa Serikali kama; NIDA, UHAMIAJI & TIC pamoja na watoa huduma wengine ambao huduma zao zinawalenga Diaspora. Hafla hiyo imefanyila leo kwenye ofisi za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, jijini Dar es salaam.
OTMI4202

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela kwa pamoja na Katibu Mkuu Wizara la Mambo ya Nje na Ushikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Joseph Sokoine, wakibadilishana hati za makubaliano baina ya Benki ya CRDB na Wizara baada ya kuzisiani kwa ajili ya utengenezaji wa mfumo wa kidigitali jijini DSM ambapo jumla ya shilingi milioni 100 zimetolewa na benki hiyo kuwezesha mfumo huo kwa Wantazania waishio nje ya nchi (Diaspora), ambao utawawezesha kupata huduma mbalimbali wanazohitaji kutoka nyumbani Tanzania wakiwa hukohuko ughaibuni. Mfumo huo utajumuisha watoa huduma wa Serikali kama; NIDA, UHAMIAJI & TIC pamoja na watoa huduma wengine ambao huduma zao zinawalenga Diaspora. Hafla hiyo imefanyila leo kwenye ofisi za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Wateja Wadogo na wa Kati wa Benki ya CRDB, Boma Raballa na kulia ni Mkurugenzi wa Kitengo cha Diaspora cha Wizara Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi James Bwana,

RelatedPosts

Auto Draft

NBC Wanogesha hafla ya kukabidhiwa Kombe Mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC, klabu ya Yanga SC j

Jun 26, 2022

ROSE REE AFUTE PICHA ZOTE ZA MCHUMBA WAKE

Jun 26, 2022

KAJALA ATOA AHAADI NZITO KWA HARMONIZE

Jun 26, 2022
Load More
OTMI4104

Katibu Mkuu Wizara la Mambo ya Nje na Ushikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Joseph Sokoine akizungumza katika hafla fupi ya kusaini makubaliano baina ya Benki ya CRDB na Wizara kwa ajili ya utengenezaji wa mfumo wa kidigitali, ambao utawawezesha watanzania waishio nje ya nchi kupata huduma mbalimbali wanazohitaji kutoka nyumbani Tanzania wakiwa hukohuko ughaibuni. Mfumo huo ambao utagharimu jumla ya shilingi milioni 100 zitakazotolewa na Benki ya CRDB, utajumuisha watoa huduma wa Serikali kama; NIDA, UHAMIAJI & TIC pamoja na watoa huduma wengine ambao huduma zao zinawalenga Diaspora. Hafla hiyo imefanyila mwishoni mwa wiki kwenye ofisi za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, jijini Dar es salaam.

OTMI4218

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akizungumza katika hafla fupi ya kusaini makubaliano baina ya Benki ya CRDB na Wizara kwa ajili ya utengenezaji wa mfumo wa kidigitali, ambao utawawezesha watanzania waishio nje ya nchi (Diaspora), kupata huduma mbalimbali wanazohitaji kutoka nyumbani Tanzania wakiwa hukohuko ughaibuni. Mfumo huo ambao utagharimu jumla ya shilingi milioni 100 zitakazotolewa na Benki ya CRDB, utajumuisha watoa huduma wa Serikali kama; NIDA, UHAMIAJI & TIC pamoja na watoa huduma wengine ambao huduma zao zinawalenga Diaspora. Hafla hiyo imefanyila leo kwenye ofisi za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, jijini Dar es salaam.

ADVERTISEMENT
OTMI4048
OTMI4003
OTMI4257

 

OTMI4251

 

OTMI4242
ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

CRDB BANK PAMOJA BONANZA ILIVYOFANA JIJINI DODOMA
BIASHARA

CRDB BANK PAMOJA BONANZA ILIVYOFANA JIJINI DODOMA

by I am Krantz
Jun 26, 2022
NMB YAZINDUA KIFURUSHI MAALUM KWAAJILI YA WALIMU
BIASHARA

NMB YAZINDUA KIFURUSHI MAALUM KWAAJILI YA WALIMU

by I am Krantz
Jun 23, 2022
Miss Brazil Afariki Dunia Baada ya Kufanyiwa Upasuaji wa Kuongeza Urembo
BIASHARA

Miss Brazil Afariki Dunia Baada ya Kufanyiwa Upasuaji wa Kuongeza Urembo

by I am Krantz
Jun 23, 2022
Benki ya NMB yasaidia ukusanyaji wa Trilioni 8.6 za Serikali
BIASHARA

Benki ya NMB yasaidia ukusanyaji wa Trilioni 8.6 za Serikali

by I am Krantz
Jun 23, 2022
MBOSSO AFUNGUKA KUHUSU HALI YA AFYA YAKE
BIASHARA

MBOSSO AFUNGUKA KUHUSU HALI YA AFYA YAKE

by I am Krantz
Jun 20, 2022
Simu yako Inaisha Chaji Haraka? Tatizo sio Betri Epuka Mambo Haya
BIASHARA

Simu yako Inaisha Chaji Haraka? Tatizo sio Betri Epuka Mambo Haya

by I am Krantz
Jun 20, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
June 2022
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930  
« May    
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In