ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Sunday, June 26, 2022
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

DULLA MAKABILA AMUOMBA MSAMAHA DIAMOND

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Jun 15, 2022
in HABARI
0
DULLA MAKABILA AMUOMBA MSAMAHA DIAMOND
0
SHARES
42
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

 

RelatedPosts

Auto Draft

NBC Wanogesha hafla ya kukabidhiwa Kombe Mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC, klabu ya Yanga SC j

Jun 26, 2022

ROSE REE AFUTE PICHA ZOTE ZA MCHUMBA WAKE

Jun 26, 2022

KAJALA ATOA AHAADI NZITO KWA HARMONIZE

Jun 26, 2022
Load More

Msanii wa Singeli, Dulla Makabila amemuomba msamaha Diamond Platnumz kwa yote yaliyotokea kati yao hadi kuwa mbali na familia ya Wasafi.

 

–

 

Kupitia kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram, Dulla ameandika. “Bigi ni ukweli usiopingika kwamba nimepoteza mtu muhimu sana kwenye career yangu ambae ni wewe na vita pekee ya kuomba radhi haiendewi na silaha mikono yangu ipo nyuma naomba unisamehe sana kaka kwa yote yaliyotokea.

 

–

“Nikisema leo nisielezee hisia zangu na jinsi navyojiskia baada ya kuwa mbali na wewe na familia nzima ya Wasafi kisa eti labda nitaonekana najishusha au nna shobo au sijiamini na kipaji changu nitakuwa najidanganya mwenyewe maana ni ukweli usipingika kwamba Dulla Makabila alikuwa star kabda ya kuwa na Wasafi na ni ukweli usiopingika kwamba WASAFI Ndio Walifanya Dulla Makabila awe brand na kutofautiana na wasanii wenzie wa singeli.

 

–

 

“Naweza nisiwe sehemu ya historia ya mafanikio yako ila naamini wewe una nafasi kubwa kwenye maisha yangu sihitaji kuelezea ni mangapi mazuri uliyafanya kwangu maana yananitafuta ndani kwa ndani.

 

 

ADVERTISEMENT

–

ADVERTISEMENT

 

‘Na wala sitaki kumlaumu mtu wala kusema fulani ndo kaniponza ila uongo hautaenda mbali kama ukweli kuwa kuna mahali nimeteleza nahitaji kusamehewa BIGI Naiomba nafasi hii tena ya kuwa miongoni mwa wale wanaoamini katika wewe na naahidi kuwa dulla mpya ambae atopelekeshwa tena na miluzi mingi naomba unisamehe bro na wasafi nzima kwa ujumla naomba mnisamehe sana pia nyinyi ni Famila yangu”

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Shabani Rapwi (Kijana Mchapa Kazi) WhatsApp; 0689232546 Email ;shabanimohamed932@gmail.com

Related Posts

Auto Draft
HABARI

NBC Wanogesha hafla ya kukabidhiwa Kombe Mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC, klabu ya Yanga SC j

by I am Krantz
Jun 26, 2022
ROSE REE AFUTE PICHA ZOTE ZA  MCHUMBA WAKE
HABARI

ROSE REE AFUTE PICHA ZOTE ZA MCHUMBA WAKE

by Shabani Rapwi
Jun 26, 2022
KAJALA ATOA AHAADI NZITO KWA HARMONIZE
HABARI

KAJALA ATOA AHAADI NZITO KWA HARMONIZE

by Shabani Rapwi
Jun 26, 2022
HUYU NDIYO MWENYE WAFUASI WENGI ZAID TIKTOK
HABARI

HUYU NDIYO MWENYE WAFUASI WENGI ZAID TIKTOK

by Shabani Rapwi
Jun 26, 2022
ALICHO KISEMA LUKAMBA KUHUSU HARMONIZE
HABARI

ALICHO KISEMA LUKAMBA KUHUSU HARMONIZE

by Shabani Rapwi
Jun 26, 2022
CRDB BANK PAMOJA BONANZA ILIVYOFANA JIJINI DODOMA
BIASHARA

CRDB BANK PAMOJA BONANZA ILIVYOFANA JIJINI DODOMA

by I am Krantz
Jun 26, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
June 2022
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930  
« May    
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In