“Ndugu zangu Simba & Yanga sisi kuwapenda tayari ni mchango tosha kwa ajili ya uwingi wetu ndio maana mnapata mabilioni ya pesa za mikataba hapo Azam na kwingineko na mechi zenu tunalipa sana viingilio na tunanunua jezi, mambo ya kuwachangia tena cash hapana aisee”- Edo Kumwembe