ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, July 2, 2022
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

Edo Kumwembe “Watanzania Tunaumwa, Tuna Matatizo ya Akili Tunatembea Nayo Huku Tumevaa Nguo”

I am Krantz by I am Krantz
Jun 1, 2022
in #CHUKUAHII, HABARI
0
Edo Kumwembe “Watanzania Tunaumwa, Tuna Matatizo ya Akili Tunatembea Nayo Huku Tumevaa Nguo”
0
SHARES
76
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

RelatedPosts

WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA AJALI

WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA AJALI

Jul 2, 2022

TETESI ZA SOKA ULAYA LEO JUMAMOSI JULAI 2, 2022

Jul 2, 2022

Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

Jul 2, 2022
Load More

From Edo kumwembe

“Tunaumwa tunaumwa tunaumwa…jamaa mmoja alihamia mtaani kwetu…alikuwa mkimya sana. Alipenda kujichanganya na sisi lakini alikuwa haongei kabisa. Alikuwa mkimya mno. Siku moja mtaani kwetu akapigwa mwizi. Huyu jamaa mkimya Ila kitu alichokwenda kumfanya mwizi wote hatukuamini. Tulianza kumuogopa tangu siku. Alimkata mwizi vidole, akataka kumtoboa macho. Wote tulikimbia.

Baadaye nikagundua ukimya wa huyu jamaa haukuwa wa bure. Alikuwa anahifadhi vitu vingi moyoni. Na kwa kiasi kikubwa alikuwa na matatizo ya kisaikolojia. Watanzania tunaumwa. Huyu aliyeua Mwanza akili yake ilikuwa inaumwa. Kabla ya hapo nimesikia kuna mtoto wa miezi sita amelawatiwa mahala. kuna yule aliyembaka Mama yake. Kuna huyu Mama aliyemnyonga mwanae..

Watanzania tunaumwa. Tuna matatizo ya akili tunatembea nayo huku tukiwa tumevaa nguo nzuri, tunaendesha magari mazuri, tunakaa nyumba nzuri lakini akili zetu zinaumwa. Nchi yetu haina wataalamu wa Saikolojia. Mama zetu na Dada zetu huwa wanakimbilia kwa Wachungaji hasa wanapotingwa na issue za kukosa watoto na mengineyo. Tatizo kuna wachungaji feki wanaofanya waumwe zaidi.. Sisi wengine tunaumwa na tunasubiri kufanya jambo lolote la hatari kwa sababu hatuna mtu wa kutusaidia tusifikirie tunayoyafikiria. Haijalishi wenye pesa au maskini…

Watanzania wengi wana msongo wa mawazo….mental sickness ni ugonjwa mbaya ambao unatumaliza kimya kimya sisi tupo busy zaidi na Malaria, HIV, vidonda vya tumbo…sio mbaya lakini tuungalie na ugonjwa huu unaotumaliza….’ LEGEND

ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA AJALI
HABARI

WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA AJALI

by Shabani Rapwi
Jul 2, 2022
NEYMAR KUONDOKA PSG
HABARI

TETESI ZA SOKA ULAYA LEO JUMAMOSI JULAI 2, 2022

by Shabani Rapwi
Jul 2, 2022
Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.
BIASHARA

Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

by I am Krantz
Jul 2, 2022
AFARIKI DUNIA BAADA YA KUNASA KWENYE NYAYA ZA UMEME
HABARI

AFARIKI DUNIA BAADA YA KUNASA KWENYE NYAYA ZA UMEME

by Shabani Rapwi
Jul 1, 2022
MTUMISHI WA TANESCO AKUTWA GUEST AMEFARIKI
HABARI

MTUMISHI WA TANESCO AKUTWA GUEST AMEFARIKI

by Shabani Rapwi
Jul 1, 2022
SIKUKUU YA EID EL-ADH’HAA JULAI 10, 2022
HABARI

SIKUKUU YA EID EL-ADH’HAA JULAI 10, 2022

by Shabani Rapwi
Jul 1, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
June 2022
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930  
« May   Jul »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In