Eng. Heris Said amepita kwenye mchujo wa kuwania kugombea nafasi ya Urais wa klabu ya Yanga.
–
ADVERTISEMENT
Yanga SC, wametoa orodha ya majina ya waliopitishwa kwenye mchujo wa awali kuwania nafasi za uongozi ikiwa pamoja na Rais, Makamu wa Rais na Wajumbe wa Kamati ya Utendaji.
–
Eng. Hersi hadi sasa hana mpinzani kwenye nafasi hiyo ya Urais, huku Makamu aliyepitishwa ni Arafat Haji pamoja na Suma Mwaitenda.
ADVERTISEMENT