ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, August 8, 2022
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

HUYU NDIYO MWENYE WAFUASI WENGI ZAID TIKTOK

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Jun 26, 2022
in HABARI
0
HUYU NDIYO MWENYE WAFUASI WENGI ZAID TIKTOK
0
SHARES
93
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

RelatedPosts

MATUKIO  YA PICHA TAMASHA LA SIMBA DAY 2022

MATUKIO YA PICHA TAMASHA LA SIMBA DAY 2022

Aug 8, 2022

Mainstream Media Limited Waendesha Mafunzo Maalumu kwa Wakufunzi wa Vicoba  .

Aug 8, 2022

UKRAINE YAISHTUMU RUSSIA KUSHAMBULIA KIWANDA CHA NYUKLIA

Aug 8, 2022
Load More

Mchekeshaji raia wa Senegal, Khaby Lame ametajwa kuwa ndiye mtu mwenye wafuasi wengi zaidi wanaomfuatilia katika mtandao wa TikTok duniani.

ADVERTISEMENT

–

Khaby Lame, 22, ambaye anatumia jina la @khaby.lame, amempiku Mmarekani Charli D’Amelio 18 ambaye alikuwa akishikilia nafasi ya hiyo tangu mwaka 2020.  Lame amefikisha wafuasi milioni 142.5 kwa usiku mmoja akiwa mbele ya Charli D’Amelio ambaye ana wafuasi 142.2.

–

ADVERTISEMENT

Lame alizaliwa Senegal na familia yake ilihamia Chivasso, Italia akiwa na umri wa mwaka mmoja.  Alifungua akaunti yake ya TikTok na kuchapisha video yake ya kwanza Machi 2020, baada ya kuachishwa kazi kiwandani siku za mwanzo za janga la COVID-19.

Vichekesho vya kijana huyu mwenye umri wa miaka 22 vimepata ufuasi mkubwa na amekuwa mmoja wa watengeneza maudhui wanaotambulika na kupendwa wa TikTok ulimwenguni.

–

Amejizolea umaarufu kwa aina yake ya uchekeshaji wa bila kuongea neno lolote zaidi ya ishara za usoni na lugha ya vitendo (video zake kwa kawaida hazijumuishi mazungumzo) zimeruhusu maudhui yake kuvutia ulimwenguni pote.

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Shabani Rapwi (Kijana Mchapa Kazi) WhatsApp; 0689232546 Email ;shabanimohamed932@gmail.com

Related Posts

MATUKIO  YA PICHA TAMASHA LA SIMBA DAY 2022
HABARI

MATUKIO YA PICHA TAMASHA LA SIMBA DAY 2022

by Shabani Rapwi
Aug 8, 2022
Mainstream Media Limited Waendesha Mafunzo Maalumu kwa Wakufunzi wa Vicoba  .
HABARI

Mainstream Media Limited Waendesha Mafunzo Maalumu kwa Wakufunzi wa Vicoba  .

by I am Krantz
Aug 8, 2022
UKRAINE YAISHTUMU RUSSIA KUSHAMBULIA KIWANDA CHA NYUKLIA
HABARI

UKRAINE YAISHTUMU RUSSIA KUSHAMBULIA KIWANDA CHA NYUKLIA

by Shabani Rapwi
Aug 8, 2022
POLISI WATANO WAUAWA NA WASHAMBULIAJI
HABARI

POLISI WATANO WAUAWA NA WASHAMBULIAJI

by Shabani Rapwi
Aug 8, 2022
TETESI ZA SOKA ULAYA LEO JUMATATU AGOSTI 08, 2022
HABARI

TETESI ZA SOKA ULAYA LEO JUMATATU AGOSTI 08, 2022

by Shabani Rapwi
Aug 8, 2022
ACHA KUNYONYA SEHEMU ZA SIRI WAKATI WA KUFANYA MAPENZI
HABARI

ACHA KUNYONYA SEHEMU ZA SIRI WAKATI WA KUFANYA MAPENZI

by Shabani Rapwi
Aug 7, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
June 2022
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930  
« May   Jul »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In