ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Sunday, June 26, 2022
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

JELA MIAKA 20 BAADA YA KUKUTWA NA NGOZI YA CHUI

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Jun 14, 2022
in HABARI
0
JELA MIAKA 20 BAADA YA KUKUTWA NA NGOZI YA CHUI
0
SHARES
30
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

 

RelatedPosts

Auto Draft

NBC Wanogesha hafla ya kukabidhiwa Kombe Mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC, klabu ya Yanga SC j

Jun 26, 2022

ROSE REE AFUTE PICHA ZOTE ZA MCHUMBA WAKE

Jun 26, 2022

KAJALA ATOA AHAADI NZITO KWA HARMONIZE

Jun 26, 2022
Load More

Mahakama ya Wilaya ya Babati mkoa wa Manyara imemuhukumu John Simon (42) mkazi wa Dareda Babati kifungo cha miaka 20 kwenda jela kwa kosa la kukutwa na ngozi ya Chui ambayo thamani yake ni zaidi ya shilingi milioni 8.

 

–

 

Mshtakiwa anadaiwa kutenda kosa hilo 19/02/2021 katika Kijiji cha Mandi Babati ambapo wakili wa serikali Grace Mgaya amesema mshtakiwa huyo John Simon alimtegeshea Felisian Mobeshi (57)ngozi hiyo ya Chui kwenye mahindi na kisha kuipeleka nyumbani kwa Felisian na baadae kutoa taarifa Polisi.

ADVERTISEMENT

 

–

 

Mgaya amesema baada ya uchunguzi imeonekana kuwa mshtakiwa John Simon sio mara yake ya kwanza kutegeshea wenzake nyara za Serikali na baadaye kutoa taarifa Polisi kwamba Wahusika wamekutwa na nyara hizo za Serikali kwa lengo la kijipatia kiasi cha shilingi laki moja.

 

–

 

Pia Wakili Mgaya amesema Mshtakiwa huyo amekuwa akitumwa na Mtu aliyefahamika kwa jina la Petro Damas kuweka mitego hiyo kwa Watu ambao amegombana nao kwa lengo la kuwakomesha na baadae kulipwa laki moja baada ya kutekeleza agizo hilo.

 

–

 

“Amekuwa anatumwa kwenda kutegesha mitego(nyara za Serikali) kwa Watu ambao wamekuwa na kutokuelewana na Petro Damas alafu yeye mwenyewe anapiga simu Polisi kutoa taarifa akieleza kwamba nyumba fulani kuna nyara za serikali sehemu fulani ambapo kiuhalisia nyara hizo anakuwa ametegesha yeye mwenyewe kwa tamaa ya kupata laki moja aliyoahidiwa lakini mwenzake huyo Petro Damas amekimbia kusiko julikana” Mgaya

 

–

ADVERTISEMENT

 

Hukumu hiyo imetolewa jana June 13 katika Mahakama hiyo ya wilaya na hakimu Victor Kimario kwenda jela miaka 20 ila mshtakiwa anayo haki ya kukata rufaa ndani ya siku 30.

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Shabani Rapwi (Kijana Mchapa Kazi) WhatsApp; 0689232546 Email ;shabanimohamed932@gmail.com

Related Posts

Auto Draft
HABARI

NBC Wanogesha hafla ya kukabidhiwa Kombe Mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC, klabu ya Yanga SC j

by I am Krantz
Jun 26, 2022
ROSE REE AFUTE PICHA ZOTE ZA  MCHUMBA WAKE
HABARI

ROSE REE AFUTE PICHA ZOTE ZA MCHUMBA WAKE

by Shabani Rapwi
Jun 26, 2022
KAJALA ATOA AHAADI NZITO KWA HARMONIZE
HABARI

KAJALA ATOA AHAADI NZITO KWA HARMONIZE

by Shabani Rapwi
Jun 26, 2022
HUYU NDIYO MWENYE WAFUASI WENGI ZAID TIKTOK
HABARI

HUYU NDIYO MWENYE WAFUASI WENGI ZAID TIKTOK

by Shabani Rapwi
Jun 26, 2022
ALICHO KISEMA LUKAMBA KUHUSU HARMONIZE
HABARI

ALICHO KISEMA LUKAMBA KUHUSU HARMONIZE

by Shabani Rapwi
Jun 26, 2022
CRDB BANK PAMOJA BONANZA ILIVYOFANA JIJINI DODOMA
BIASHARA

CRDB BANK PAMOJA BONANZA ILIVYOFANA JIJINI DODOMA

by I am Krantz
Jun 26, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
June 2022
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930  
« May    
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In