Msanii wa muziki wa Injli Bongo, Joel Lwaga ameshinda tuzo kutoka Maranatha Awards za nchini Marekani.
Utakumbuka Septemba mwaka jana Joel aliachia Extended Playlist (EP), Trust yenye nyimbo tano ambazo zilifanya vizuri.
cc @joellwaga @maranathaawardsinc_usa