Msanii wa muziki kutoka nchini Uganda, Jose Chameleon amewataka wadau na vituo vya runinga nchini humo kujitokeze kununua haki za kutangaza mazishi yake ili aweze kutumia fedha zake akiwa hai.
ADVERTISEMENT
–
ADVERTISEMENT
Amesisitiza kwamba ana uhakika maudhui ya msiba wake yatauza sana na watu mashuhuli kutoka sehemu mbalimbali duniani watafika kumpa heshima za mwisho.