Klabu ya Juventus ipo katika hatua za mwishoni kukamilisha usajili wa kiungo Paul Pogba, ambaye yuko huru baada ya kumaliza mkataba wake na Manchester United mwishoni mwa msimu huu.
–
Juventus wanatarajia kumsajili mchezaji huyo bure na kumpa kandarasi ya miaka minne, ili kuitumikia klabu hiyo hadi mwishoni mwa msimu wa 2026.
10:35 AM
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT