RelatedPosts
Klabu ya Simba SC imemtakia kila la heri Kocha wa magoli kipa, Tyron Damons ambaye anataraji kuondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu.
–
Tyron amepata kazi kunako klabu ya Orlando Pirates ya nchini Afrika Kusini na tayari amewasilisha ombi la kutaka kuondoka klabuni hapo na kujiunga na miamba hiyo ya Afrika Kusini.
–
Simba imesema kuwa mchakato wa kutafuta mrithi wa Tyron umeanza kumpata kocha mpya wa magoli kipa kabla ya kuanza kwa maandalizi ya msimu mpya wa mashindano.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT