Wahenga walisema kupanga ni kuchagua. Kabla hujachagua ni muhimu kutambua unachagua nini na kwasababu gani.?
–
Ukichagua mwanamke ambaye anafanya kazi, inakupasa kufahamu na kukubali kwamba; mwanamke huyo hataweza kuwa na muda wa kutosha kwaajili ya uangalizi wa nyumba na kaya yako.
–
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT
Kwasababu ya kazi anayofanya. Ukichagua mwanamke wa nyumbani Inakupasa kufahamu na kukubali kwamba; huyo hana kipato. Hivyo atakutegemea wewe kwakiasi kikubwa. kwasababu hana kazi ya kumwingizia kipato.