Manchester City na Barcelona zitacheza mchezo wa kirafiki wa hisani ya kumuenzi aliyekuwa kocha wa Barcelona Juan Carlos Unzue na kuchangisha fedha kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa ALS.
–
Mchezo huo utapigwa mnamo Agosti 24, 2022 katika dimba la Nou Camp majira ya saa 4:00 usiku
ADVERTISEMENT
–
ALS (amyotrophic lateral sclerosis) ni ugonjwa wa neva za ubongo ambao unashambulia mishipa ya fahamu uliompata kocha wa zamani wa Barcelona Juan Carlos Unzue na hauna tiba.
ADVERTISEMENT