MKURUGENZI wa Chelsea, Marina Granovskaia ameachia ngazi wadhifa wake baada ya kudumu Stamford Bridge kwa muda wa miaka 12.
–
Marina anafuata nyayo za Mwenyekiti wa klabu hiyo Bruce Buck, aliyetangaza kustaafu na atakiachia kiti chake alichodumu nacho kwa muda wa 19.
–
Aidha bosi huyo mkongwe wa muda mrefu atabaki kuwa mshauri mkuu wa klabu.