Mwimbaji wa Bongofleva, Marioo amesema kuwa remix ya ngoma yake tishio, Mi Amor ipo tayari kwa sasa, hivyo muda wowote itatoka.
–
Kauli ya Marioo inakuja wakati akifanya vizuri na wimbo wake, Naogopa ambao amemshirikisha Harmonize. “Mi Amor remix ipo tayari, vipi nayo ama nije na mashinde mpya kwanza,” ameandika Marioo Insta Story.
ADVERTISEMENT
–
Utakumbuka hivi karibuni Marioo amesikika kwenye remix ya ngoma, Sugar yake Jay Melody.
ADVERTISEMENT