ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Wednesday, June 29, 2022
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

MBOSSO AFUNGUKA KUHUSU HALI YA AFYA YAKE

I am Krantz by I am Krantz
Jun 20, 2022
in BIASHARA, BURUDANI, MICHEZO
0
MBOSSO AFUNGUKA KUHUSU HALI YA AFYA YAKE
0
SHARES
34
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Staa wa Bongofleva toka WCB Wasafi, Mbosso amefunguka kuwa anakumbwa na matatizo makubwa ya moyo.

Msanii huyo mwenye umri wa miaka 29 akiwa kwenye mahojiano na Wasafi FM jana amefichua kuwa amekuwa akipambana na hali hiyo kwa kipindi kirefu.

RelatedPosts

No Content Available
Load More

“Nimeambiwa matatizo yangu yanatokana na mishipa yangu ya damu kuzibwa na mafuta. Hali hii haijanipata ukubwani, ni tangu nizaliwe,” Mbosso alisema.

Mwanamuziki huyo alifichua kuwa kuna nyakati ambapo hali hiyo husababisha ganzi mwilini mwake kiasi kwamba anapoteza hisia.

Mbosso alisema ugonjwa huo upo ndani ya familia yake na amekuwa nao tangu kuzaliwa kwake. Alisema kuwa hata hivyo kuna nuru gizani kwani tayari kuna mpango wa hali hiyo kuenda kurekebishwa ughaibuni.

“Nimesisitizwa nifanye mazoezi. Kuna wataalamu pia niliwasiliana nao. Natakiwa nisafiri kwa ajili ya kuenda kupatana nao,” Alisema.

ADVERTISEMENT

Mbosso alisema atasafiri kuenda kutibiwa baada ya kupanga mambo yake nyumbani kwani matibabu yatachukua muda mrefu.

Alifichua kuwa anasaka matibabu kwa kuwa madaktari waliwahi kumwarifu kuwa ugonjwa wake huenda ukamsababishia utasa baada ya kutimiza miaka 30.

“Daktari aliniambia shida yangu huenda ikawa kubwa zaidi baada ya kufikisha miaka 30, alisema huenda ikanipelekea nisipate tena watoto nisipofanya matibabu,” alisema.

Mwanamuziki huyo pia aliweka wazi kwamba sio wengi ambao wamekuwa wakifahamu kuhusu ugonjwa wake. Alifichua kwamba ni wazazi wake tu, baby mamas wake na bosi wake Diamond Platnumz ambao wamekuwa wakijua kuhusu hali hiyo.

cc @mbosso_

ADVERTISEMENT

Related

Tags: MBOSSO
ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

Mkurungezi wa NBC Akutana na Waziri wa Kilimo kukuza Biashara  za kilimo
BIASHARA

Mkurungezi wa NBC Akutana na Waziri wa Kilimo kukuza Biashara za kilimo

by I am Krantz
Jun 28, 2022
Auto Draft
HABARI

NBC Wanogesha hafla ya kukabidhiwa Kombe Mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC, klabu ya Yanga SC j

by I am Krantz
Jun 26, 2022
CRDB BANK PAMOJA BONANZA ILIVYOFANA JIJINI DODOMA
BIASHARA

CRDB BANK PAMOJA BONANZA ILIVYOFANA JIJINI DODOMA

by I am Krantz
Jun 26, 2022
NMB YAZINDUA KIFURUSHI MAALUM KWAAJILI YA WALIMU
BIASHARA

NMB YAZINDUA KIFURUSHI MAALUM KWAAJILI YA WALIMU

by I am Krantz
Jun 23, 2022
Miss Brazil Afariki Dunia Baada ya Kufanyiwa Upasuaji wa Kuongeza Urembo
BIASHARA

Miss Brazil Afariki Dunia Baada ya Kufanyiwa Upasuaji wa Kuongeza Urembo

by I am Krantz
Jun 23, 2022
Chris Brown “Msinilinganishe na Michael Jackson”
HABARI

Chris Brown “Msinilinganishe na Michael Jackson”

by I am Krantz
Jun 23, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
June 2022
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930  
« May    
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In