Liverpool itafungua pazia la Ligi kuu England kwa msimu wa 2022/23 dhidi ya Mabingwa wa championship, Fulham waliopanda daraja mwishoni mwa msimu wa 2021/22.
ADVERTISEMENT
–
Zifuatazo ni mechi 6 za kwanza za Liverpool kwenye Ligi kuu England kwa msimu mpya wa 2022/23.
• [A] Fulham
• [H] Crystal Palace
• [A] Manchester United
• [H] Bournemouth
• [H] Newcastle
• [A] Everton
–
ADVERTISEMENT
Majogoo wanakusanya alama ngapi hapo kwenye mechi 6 za kwanza?
NB: [A] away/ugenini
[H] home/nyumbani