ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Sunday, June 26, 2022
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

MIRADI YA KIMKAKATI KUENDELEA KUKAMILISHWA

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Jun 14, 2022
in HABARI
0
MIRADI YA KIMKAKATI KUENDELEA KUKAMILISHWA
0
SHARES
19
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

 

RelatedPosts

Auto Draft

NBC Wanogesha hafla ya kukabidhiwa Kombe Mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC, klabu ya Yanga SC j

Jun 26, 2022

ROSE REE AFUTE PICHA ZOTE ZA MCHUMBA WAKE

Jun 26, 2022

KAJALA ATOA AHAADI NZITO KWA HARMONIZE

Jun 26, 2022
Load More

Serikali imesema katika mwaka wa fedha wa 2022/2023 itaendelea kukamilisha miradi ya kielelezo na ya kimkakati inayoendelea kutekelezwa katika maeneo mbalimbali nchini, ambayo inatarajiwa kuwa na matokeo mapama ya haraka katika uchumi wa Taifa.

 

–

Kauli hiyo ya Serikali imetolewa bungeni jijini Dodoma na Waziri Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba wakati akiwasilisha Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2021 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023.

 

–

 

Amesema miradi hiyo ya kielelezo na ya kimkakati inatarajiwa kuzalisha ajira, kuongeza kipato pamoja na kupunguza hali ya umaskini nchini.

 

–

 

Dkt. Mchema ameitaja miradi hiyo kuwa pamoja na ujenzi wa reli ya kati kwa kiwango cha kisasa (SGR), mradi wa kufua umeme wa maji wa Julius Nyerere, kuboresha Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) na mradi wa kuchakata na kusindika gesi asilia kuwa kimiminika (LNG) huko mkoani Lindi.

 

–

ADVERTISEMENT

 

Waziri huyo wa Fedha na Mipango ameongeza kuwa miradi ya kipaumbele kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023 itaendelea kuzingatia maemeo matano ya kipaumbele ya Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa miaka mitano kuanzia mwaka 2021/2022 hadi 2025/2026.

ADVERTISEMENT

 

–

 

Alasiri hii leo, Dkt. Nchemba atawasilisha bungeni bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023.

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Shabani Rapwi (Kijana Mchapa Kazi) WhatsApp; 0689232546 Email ;shabanimohamed932@gmail.com

Related Posts

Auto Draft
HABARI

NBC Wanogesha hafla ya kukabidhiwa Kombe Mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC, klabu ya Yanga SC j

by I am Krantz
Jun 26, 2022
ROSE REE AFUTE PICHA ZOTE ZA  MCHUMBA WAKE
HABARI

ROSE REE AFUTE PICHA ZOTE ZA MCHUMBA WAKE

by Shabani Rapwi
Jun 26, 2022
KAJALA ATOA AHAADI NZITO KWA HARMONIZE
HABARI

KAJALA ATOA AHAADI NZITO KWA HARMONIZE

by Shabani Rapwi
Jun 26, 2022
HUYU NDIYO MWENYE WAFUASI WENGI ZAID TIKTOK
HABARI

HUYU NDIYO MWENYE WAFUASI WENGI ZAID TIKTOK

by Shabani Rapwi
Jun 26, 2022
ALICHO KISEMA LUKAMBA KUHUSU HARMONIZE
HABARI

ALICHO KISEMA LUKAMBA KUHUSU HARMONIZE

by Shabani Rapwi
Jun 26, 2022
CRDB BANK PAMOJA BONANZA ILIVYOFANA JIJINI DODOMA
BIASHARA

CRDB BANK PAMOJA BONANZA ILIVYOFANA JIJINI DODOMA

by I am Krantz
Jun 26, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
June 2022
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930  
« May    
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In