Kamanda wa jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro ACP Simon Maigwa amethibitisha kufariki kwa kijana aitwaye Braiton Anold mwenye miaka 17 mkazi wa Fuka wilayani Siha baada ya kupigwa na mtendaji wa kata ya Kirua Godlize Munisi kwa Tuhuma za kuiba viatu.
–
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT
Aidha kamanda Maigwa amesema mtendaji huyo alishirikiana na migambo wa eneo hilo ambao wlifanya msako uliopelekea kukamatwa kwa kijana huyo ambapo katika mahojiano wamebaini nguvu zaidi ilitumika iliyopelekea kijana huyo kupata majeraha yaliyopelekea kifo.