ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, May 30, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

Mwigizaji wa Nigeria Iniedo Abebewa Mimba na Mwanamke Mwingine

I am Krantz by I am Krantz
Jun 9, 2022
in BURUDANI
0
Mwigizaji wa Nigeria Iniedo Abebewa Mimba na Mwanamke Mwingine
0
SHARES
104
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

RelatedPosts

POCHETTINO AANZA NA JOAO FELIX AREJEE ATLETICO

POCHETTINO AANZA NA JOAO FELIX AREJEE ATLETICO

May 30, 2023

DIASPORA KUPEWA HADHI YA KIPEKEE

May 30, 2023

MAPACHA WALIOFARIKI ZIWANI WAKIOGELEA KUZIKWA MARA

May 30, 2023
Load More


Mwigizaji nyota wa filamu za Nollywood nchini Nigeria, Iniedo amefunguka kwa mara ya kwanza yeye ni mzazi wa mtoto mmoja na alipata mtoto huyo kupitia kubebewa mimba na mwanamke mwingine, kisayansi njia hiyo inaitwa “Surrogacy”.

Akizungumza kwenye mahojiano na kipindi cha Lilian’s Couch huko Nigeria kinacho ongozwa na mtangazaji Lilian Afegbai, Ini amesema kwamba aliamua kutumia njia hiyo ili kupata amani ya moyo wake kwani yeye ni mtu ambaye anapenda kukaa peke yake lakini aligundua kwamba kila akiamka asubuhi hajifikirii bali anafikiria mtu mwingine.

Pia amebainisha kwamba alikosolewa na wengi kwa kuamua kupata mtoto kwa njia ya kubebewa mimba ila amewaambia mashabiki kuwa yeye ndiye alitoa yai ambalo lilitumika kuunda mimba ya binti yake na hivyo wanafanana na ni mtoto wake.

“Niliamua kufuata njia hiyo (Surrogacy) ili na mimi nitimize amani ya moyo wangu pamoja na ndoto ya kuwa na familia” alisema @iniedo na kuongeza kwamba bado kuna mayai yake ambayo yamehifadhiwa ili kutumika ikiwa ataamua kubeba mimba mwenyewe au kubebewa na mtu mwingine.

Kuhusu baba wa binti yake huyo, Ini alisema kwamba alitafuta mbegu za mtu aliyejitolea kumpa ili asipate shida yoyote kimawazo siku za usoni. “Huwa ninashtuka kila mara nikiona mama na baba wakizozana hadharani kuhusu mtoto na ndiyo sababu nilitafuta mbegu tu.” alieleza @iniedo

ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

PROFESSOR JAY AWASHUKURU WASANII WENZAKE WALIOKWENDA KUMUONA
BURUDANI

PROFESSOR JAY AWASHUKURU WASANII WENZAKE WALIOKWENDA KUMUONA

by ALFRED MTEWELE
May 18, 2023
DIVA THE BAWSE AWACHARUKIA WANAOFATILIA MAHUSIANO YA PAULA NA MARIOO
BURUDANI

DIVA THE BAWSE AWACHARUKIA WANAOFATILIA MAHUSIANO YA PAULA NA MARIOO

by ALFRED MTEWELE
May 16, 2023
TRUMP AKUTWA NA HATIA  YA UNYANYASAJI WA KINGONO
BURUDANI

TRUMP AKUTWA NA HATIA YA UNYANYASAJI WA KINGONO

by I am Krantz
May 10, 2023
HARMONIZE ” I AM NOT SINGLE AGAIN” SASA NIMEJIDHATITI
BURUDANI

HARMONIZE ” I AM NOT SINGLE AGAIN” SASA NIMEJIDHATITI

by ALFRED MTEWELE
May 9, 2023
DAR BARAKOA LAZIMA/LISU ANA JAMBO LAKE/YANGA,SIMBA , AZAM TAMBO TUPU…….MAGAZETINI LEO ALHAMISI TAREHE 25 JUNI
BIASHARA

KUMEKUCHA KATIBA MPYA…….KUTOKA MAGAZETINI LEO JUMATATU TAREHE 8 MEI 2023

by I am Krantz
May 8, 2023
UNAYAJUA MAJUKUMU YA MFALME NA NAFASI YAKE KATIKA FAMILIA YA KIFALME?
BURUDANI

UNAYAJUA MAJUKUMU YA MFALME NA NAFASI YAKE KATIKA FAMILIA YA KIFALME?

by I am Krantz
May 7, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
June 2022
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930  
« May   Jul »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In