ADVERTISEMENT
Ndege ya Red Air imeripotiwa kuwaka moto baada ya kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Miami, ndege hiyo aina ya Red Air Flight 203 iliyokuwa imebeba watu 126 ilikuwa ikitoka Jamhuri ya Dominika ilifeli ilipotua kwenye Uwanja wa FAA.
ADVERTISEMENT