Klabu ya Yanga ipo katika hatua za mwisho kukamilisha uhamisho wa mshambuliaji wa ASEC Mimosa, Stephane Aziz Ki, muda wowote kuanzia sasa.
–
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 ni raia wa nchini Burkina Faso
–
Taarifa zinasena kuwa, mkurugenzi wa uwekezaji kutoka Gsm na mwenyekiti wa kamati ya usajili leo usiku majira ya saa 8:15, ataondoka nchini Tanzania sambamba na wakala wa Azizi Ki kwenda nchini Ivory Coast kukamilisha taratibu za uhamisho wake
–
Jana wakala wa Azizi Ki alikutana na Eng Hersi, Senzo Mbatha, Dominic Albinus walikamilisha taratibu zote za kimkataba kwa kukubali kusaini kandarasi ya miaka miwili.