ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, March 28, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

NMB Teleza Kidijitali kuzinduliwa Shinyanga

I am Krantz by I am Krantz
Jun 15, 2022
in HABARI
0
NMB Teleza Kidijitali kuzinduliwa Shinyanga
0
SHARES
108
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT
Meneja wa NMB kanda ya Magharibi Sospeter Magesse, akizungumza na wamachinga kuhusu faida za kampeni ya Teleza kidijitali iliyozinduliwa wilayani Kahama katika stendi ya mabasi CDT.
Meneja wa NMB kanda ya Magharibi Sospeter Magesse(kulia) na Meneja wa NMB tawi la Kahama Gadiel Sawe wakipeperusha bendera hewani ikiwa ni ishara ya kuzindua kampeni ya Teleza Kidijitali iliyozinduliwa wilayani Kahama katika stendi ya mabasi CDT mkoani Shinyanga.
Meneja wa NMB kanda ya Magharibi Sospeter Magesse(kulia) na Meneja wa NMB tawi la Kahama Gadiel Sawe(kushoto), wakizungumza na mamalishe kuhusu faida za kampeni ya Teleza Kidijitali.

 

 

RelatedPosts

DC JOKATE MWEGELO AZURU NCHINI AFRIKA KUSINI KUTANGAZA FURSA ZAO LA MKONGE

DC JOKATE MWEGELO AZURU NCHINI AFRIKA KUSINI KUTANGAZA FURSA ZAO LA MKONGE

Mar 28, 2023

MBUNGE ATOA MAJIKO YA GESI 700 KWA WANAWAKE WAJASIRIAMALI

Mar 28, 2023

TAIFA STARS YAAHIDI KUENDELEZA ILIPOISHIA

Mar 28, 2023
Load More

BAADA ya kuchanja mbuga mtaa kwa mtaa katika Mkoa wa Dar es Salaam na Arusha, sasa Benki ya NMB imefika Mkoa wa Shinyanga kuzindua kampeni ya ‘Teleza Kidijitali’ katika mikoa ya Kanda ya Magharibi.

Uzinduzi huo ulifanyika katika viwanja vya CDT Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga.

ADVERTISEMENT

Akizungumza katika uzinduzi huo, Meneja wa Kanda ya Magharibi wa NMB, Sospeter Magesse alisema kampeni ya ‘Teleza kidijitali’ imeanzishwa hivi karibuni kuwaelimisha Watanzania umuhimu wa huduma zilizo chini ya kampeni hio, ambazo ni NMB Pesa Wakala, Lipa Mkononi na Mshiko Fasta.

“Kupitia huduma ya Teleza kidijitali, pia inamuwezesha mteja kufungua akaunti mara moja na kuunganishwa na huduma za NMB Mkononi papo hapo bila mahitaji ya vigezo vingi vya usajili” alisema Magesse.

Aliongezea kuwa huduma yao ya ‘NMB pesa Wakala’ ni huduma inayomuwezesha mtu yeyote kuwa wakala kwa kupitia simu yako ya mkononi (smart phone au tochi) kutoa huduma za kuweka, kutoa au kutuma pesa kiurahisi.

Aidha, aliwasisitizia kuchangamkia fursa ya ‘Mshiko fasta’ ambapo mteja akiwa na akaunti ya NMB anaweza kukopa na kupata mkopo mpaka wa Shilingi 500,000/- bila dhamana na pia mteja atarejesha kidogo kidogo mpaka kwa siku 28.

“Kupitia huduma yetu ya Lipa Mkononi, mteja haendi na pesa katika kununua bidhaa bali ataskani QR code tu na kulipia. Hii inamuwezesha mfanyabiashara au mjasiriamali kulipwa pesa za mauzo moja kwa moja katika akaunti yake kiurahisi na kwa usalama bila kulazimika kuhamisha fedha nyingi kutoka eneo lake la biashara kwenda kwenye tawi” alisema Magesse.

Naye, mfanyabiashara mdogo wa kutoka kata ya Kahama mjini, Roseline Athuman amesema benki ya NMB imewaletea njia rahisi ya kufanya biashara na kuiomba iendelee kutoa huduma zao za kidijitali ili kuwarahisishia wafanyabiashara wadogo.

MWISHO

ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

DC JOKATE MWEGELO AZURU NCHINI AFRIKA KUSINI KUTANGAZA FURSA ZAO LA MKONGE
HABARI

DC JOKATE MWEGELO AZURU NCHINI AFRIKA KUSINI KUTANGAZA FURSA ZAO LA MKONGE

by ALFRED MTEWELE
Mar 28, 2023
MBUNGE ATOA MAJIKO YA GESI 700 KWA WANAWAKE WAJASIRIAMALI
HABARI

MBUNGE ATOA MAJIKO YA GESI 700 KWA WANAWAKE WAJASIRIAMALI

by ALFRED MTEWELE
Mar 28, 2023
RAIS SAMIA ATUNUKIWA TUZO NA WANAHABARI, JNICC
HABARI

RAIS SAMIA ATUNUKIWA TUZO NA WANAHABARI, JNICC

by ALFRED MTEWELE
Mar 28, 2023
MFAHAMU MVUVI ALIYEPOTELEA BAHARINI SIKU 438, NA KUKUTWA BADO YUPO HAI
HABARI

MFAHAMU MVUVI ALIYEPOTELEA BAHARINI SIKU 438, NA KUKUTWA BADO YUPO HAI

by ALFRED MTEWELE
Mar 28, 2023
MAKAMU WA RAIS MAREKANI ZIARANI KESHO NCHINI
HABARI

MAKAMU WA RAIS MAREKANI ZIARANI KESHO NCHINI

by ALFRED MTEWELE
Mar 28, 2023
WASANII BONGO WALIOTAJWA PLAYLISTS YA KAMALA
HABARI

WASANII BONGO WALIOTAJWA PLAYLISTS YA KAMALA

by ALFRED MTEWELE
Mar 28, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
June 2022
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930  
« May   Jul »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In