ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, August 13, 2022
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

NMB WASHIRIKI MKUTANO MKUU WA WAFANYAKAZI WENYE ULEMAVU DODOMA

I am Krantz by I am Krantz
Jun 30, 2022
in BIASHARA, HABARI
0
NMB WASHIRIKI MKUTANO MKUU WA WAFANYAKAZI WENYE ULEMAVU DODOMA
0
SHARES
80
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Afisa Mkuu wa Rasilimali Watu Benki ya NMB, Emmanuel Akonaay akiwasilisha mada kwenye mkutano mkuu wa Kitaifa wa Wafanyakazi wenye ulemavu nchini uliofanyika Jijini Dodoma.
Sababu kuu tatu zimetajwa kuwa changamoto ya kuwakosesha ajira watu wenye ulemavu nchini licha ya kuwa wanakuwa na sifa zinazotastahili.

RelatedPosts

NMB yaahidi kuendeleza kunufaisha sekta ya kilimo nchini

NMB yaahidi kuendeleza kunufaisha sekta ya kilimo nchini

Aug 10, 2022

NMB Yaibuka Kinara tena Utoaji Huduma Bora Nanenane 2022

Aug 9, 2022

Ufadhili wa NMB wafikia Sh. trilioni 1.56 sekta ya kilimo

Aug 3, 2022
Load More

Sababu hizo zilitolewa jana Jijini Dodoma na Afisa Mkuu wa Rasilimali Watu wa Benki ya NMB, Ndugu- Emmanuel Akonaay kwenye Mkutano Mkuu wa Kitaifa wa wafanyakazi wenye ulemavu ulioitishwa na taasisi ya Ikupa Trust huku NMB wakiwa moja ya wadhamini.

Akonaay alitoa kauli hiyo alipozungumza kwa niaba ya waajiri juu ya changamoto wanazokutana nazo wakati wa kuajiri kwani watu wenye ulemavu huwa wachache ingawa alisema ndani ya NMB watu wenye ulemavu wapo.

Afisa Mkuu wa Rasilimali Watu wa Benki ya NMB, Ndugu- Emmanuel Akonaay alizitaja baadhi ya changamoto hizo ni kutojiamini hivyo kushindwa kutuma maombi ya kazi.
Nyingine ni watu wenye ulemavu kutokuwa na ari ya kujitolea na kukosekana kwa kanzi data ya wenye ulemavu ili kuwatambua katika uwezo wao.

Akizungumza kwenye mkutano huo, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira,Vijana na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi aliziomba taasisi za fedha kuendelea kuwaamini wenye ulemavu na kutimiza matakwa yao, si kwa kuomba bali kwa haki.

Naye Mkurugenzi wa Taasisi ya Ikupa Trust, Stella Ikupa alisema kundi hilo linakutana na changamoto nyingi lakini wanalilia utekelezaji wa sheria ambayo inasema kila walipo watumishi 20, lazima asilimia tatu yao iwe ni wenye ulemavu.

ADVERTISEMENT

Ikupa alisema tatizo la miundombinu ni kubwa hasa katika majengo ya Serikali ikiwemo vyoo ambapo huwafanya baadhi ya wenye ulemavu kulazimika kushinda njaa au kutokunywa maji kutwa nzima wakiwepo kazini wakiogopa kwenda vyooni kwani mazingira si rafiki.

Kwa upande mwingine Ikupa alizishukuru taasisi za fedha ikiwemo NMB kwamba wamekuwa mstari wa mbele katika kuwasaidia wenye ulemavu ikiwemo Taasisi ya Ikupa Trust.

Mwisho,….

ADVERTISEMENT

Related

Tags: NMB
ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

Mkazi wa Mufindi -Iringa akabidhiwa gari mpya Suzuki S Presso baada ya kuibuka mshindi promosheni ya Vodacom Tusua Mapene
BIASHARA

Mkazi wa Mufindi -Iringa akabidhiwa gari mpya Suzuki S Presso baada ya kuibuka mshindi promosheni ya Vodacom Tusua Mapene

by I am Krantz
Aug 13, 2022
Rais Samia Akiwa katika Ziara yake Mkoani Iringa 2022
HABARI

Rais Samia Akiwa katika Ziara yake Mkoani Iringa 2022

by ALFRED MTEWELE
Aug 12, 2022
BIL.11 kupelekwa Mafinga kuboresha miundombinu ya Mji
HABARI

BIL.11 kupelekwa Mafinga kuboresha miundombinu ya Mji

by ALFRED MTEWELE
Aug 12, 2022
Dkt. Mpango Aitaka NEMC na STAMICO Kufanya Tathimini Migodini
HABARI

Dkt. Mpango Aitaka NEMC na STAMICO Kufanya Tathimini Migodini

by ALFRED MTEWELE
Aug 12, 2022
STAMICO YAADHIMISHA MIAKA 50 TANGU IANZISHE
BIASHARA

STAMICO YAADHIMISHA MIAKA 50 TANGU IANZISHE

by ALFRED MTEWELE
Aug 12, 2022
Benki ya NMB yang’ara maonyesho ya Nanenane Mkoani Mbeya.
BIASHARA

Benki ya NMB yang’ara maonyesho ya Nanenane Mkoani Mbeya.

by I am Krantz
Aug 12, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
June 2022
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930  
« May   Jul »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In