ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Thursday, November 30, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

NMB yakabidhi Vifaa vya Usafi – Dodoma

I am Krantz by I am Krantz
Jun 16, 2022
in BIASHARA
0
NMB yakabidhi Vifaa vya Usafi – Dodoma
0
SHARES
233
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka (watatu toka kushoto) akipokea msaada wa vifaa vya kutunza taka kutoka kwa Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB , Juma Kimori vyenye nia ya kusaidia utunzaji wa Mazingira katika jiji la Dodoma. Wengine katika picha ni Naibu Meya wa Jiji la Dodoma, Emmanuel Chibago, Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma, Dkt. Fatma Mganga , Afisa Mkuu rasilimali watu- Emmanuel Akonaay na Mkuu wa Idara ya Huduma za serikali na Ofisi Ndogo za Makao Makuu Dodoma wa NMB- Vicky Bishubo.

 

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka ameagiza Jiji la Dodoma kuharakisha sheria ndogo ndogo za mazingira ili kuweka hali ya usafi katikati ya Jiji hilo.

Mtaka alitoa agizo hilo Kwa Naibu Meya wa Jiji la Dodoma, Emmanuel Chibago wakati wa kupokea vifaa vya kuhifadhia taka vilivyotolewa na benki ya NMB ili kusaidia utunzaji wa mazingira.

“Siku ile tulipata aibu kubwa, niliamua kuandika kwa mkono wangu kuomba vifaa hivi kwa benki ya NMB na leo wameleta,sasa naagiza vikabidhiwe kwa maandishi ili kila mmoja awe na wajibu wa kutunza na kuvifanyia kazi,” alisema Mtaka.

 

Mkuu a Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka akiwa amebeba moja ya vifaa vya kuhifadhia taka vilivyotewa na Benki ya NMB yenye nia ya kusaidia utunzaji wa Mazingira katika jiji la Dodoma. NMB ilikabidhi vifaa 100 kwa ajili ya Mkoa wa Dodoma kwenye viwanja vya Nyerere square Jijini Dodoma.

 

 

 

NMB wamekabidhi jumla ya mapipa 100 yenye thamani ya zaidi ya Sh20 milioni wakiahidi kuendeleza ushirikiano na mkoa ili kuweka mji katika hali ya usafi.

Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB, Juma Kimori alisema makabidhiano ya vifaa hivyo ni mipango ya benki hiyo katika kurudisha sehemu ya faida kwa wananchi baada ya kodi ambapo mwaka huu wametenga Sh.bilioni 2.9 ikiwa na ongezeko la 41% ukilinganisha na Sh.bilioni 2.05 za mwaka jana.

ADVERTISEMENT

Kimori alisema walipokea ombi la vifaa vya kutunzia taka (dusty been) 350 kutoka kwa Mkuu wa Mkoa lakini kwa kuanza wametoa 100.

Awali Katibu Tawala wa mkoa Dkt Fatuma Mganga alisema baada ya makabidhiano hayo, sheria za usafi zitaanza kutekelezwa kwa mtu atakayetupa taka hovyo huku Dkt. Mganga akisema, awali ilikuwa ngumu kutekeleza sheria hiyo kwa sababu maeneo mengi hayakuwa na vifaa vya kuhifadhia taka hivyo kila mmoja alitupa kama anavyoona inafaa.

Mwisho.

Related

Tags: NMB
ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

SBL NA POLISI WA USALAMA BARABARANI WAJA NA MASHINDANO YA MPIRA WA MIGUU KUTOA ELIMU YA UWAJIBIKAJI
BIASHARA

SBL NA POLISI WA USALAMA BARABARANI WAJA NA MASHINDANO YA MPIRA WA MIGUU KUTOA ELIMU YA UWAJIBIKAJI

by SUZO SHUKRANI
Oct 13, 2023
SmartUni App kutumiwa na wana AIESEC vyuoni Tanzania
BIASHARA

SmartUni App kutumiwa na wana AIESEC vyuoni Tanzania

by I am Krantz
Oct 13, 2023
GALCO INSURANCE BROKERS YAZINDUA BIMA YA TAKAFUL
BIASHARA

GALCO INSURANCE BROKERS YAZINDUA BIMA YA TAKAFUL

by SUZO SHUKRANI
Oct 5, 2023
BEI Y MAFUTA YAPANDA TENA NCHINI
BIASHARA

BEI Y MAFUTA YAPANDA TENA NCHINI

by SUZO SHUKRANI
Oct 4, 2023
MIFUMO YA KIFEDHA KULINDWA ZAIDI
BIASHARA

MIFUMO YA KIFEDHA KULINDWA ZAIDI

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
BENKI YA NMB YAZINDUA HATI FUNGANI YA MUDA WA KATI
BIASHARA

BENKI YA NMB YAZINDUA HATI FUNGANI YA MUDA WA KATI

by SUZO SHUKRANI
Sep 25, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TWEETS

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
June 2022
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930  
« May   Jul »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In