ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, July 2, 2022
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

Q Chief Sasahivi ni Mganga wa Kienyeji…Afunguka Kuoteshwa Kutibu Watu

I am Krantz by I am Krantz
Jun 19, 2022
in BURUDANI, MAGAZETI TANZANIA
0
Q Chief Sasahivi ni Mganga wa Kienyeji…Afunguka Kuoteshwa Kutibu Watu
0
SHARES
40
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

RelatedPosts

WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA AJALI

WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA AJALI

Jul 2, 2022

TETESI ZA SOKA ULAYA LEO JUMAMOSI JULAI 2, 2022

Jul 2, 2022

Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

Jul 2, 2022
Load More

Ikiwa ni takribani miaka miwili bila kuachia kazi mpya, Q Chief afunguka kurudi kivingine mwezi huu kwa kuachia wimbo mpya ambao una video yake tayari.

Akizungumza kwenye Chill na Sky hapa SnS, Q Chief ameeleza hayo sambamba na kuweka wazi kwa mara ya kwanza kuwa alioteshwa na kupewa mamlaka ya kutibu watu, karama ambayo anasema alikuwa ameandaliwa kuwa nayo tangu zamani na kwasasa yeye ni Sharif.

Akimjibu Sky kuhusiana na masuala ya kuwa Sharif, Q Chief amesema, “Mimi kitaaluma sio mwanamuziki kwa sababu muziki tu naupenda na kiuhalisia kabisa mimi kazi yangu inahitaji utulivu, kazi yangu mimi haionekani lakini mimi naiona” ameeleza Q Chief na kuongeza, “Hicho ndicho kilichokuwa kina nisumbua muda mrefu sana” – Q Chief akiiambia SnS.

Sambamba na hilo Q Chief ameeleza chanzo cha vita na ndugu zake upande wa baba, vita ambayo aliwahi kuisimulia A-Z katika ukurasa wake wa Instagram.

“Mimi nilikuwa napigana vita ya ndani, vita ambayo ni ngumu sana kwa mwanadamu kuishinda na wengi wameishindwa kwa sababu hujui unapigana na nani. Kuna watu walifunga nafsi yangu, tena kuifunga moja kwa moja, na adui mkubwa wa maisha ni ndugu”.

“Nilikuja kugundua tunachopigania na ndugu upande wa Baba ni nguvu na mamlaka na kubwa cha ziada ni karama niliyonayo, ndugu wanahoji kwanini nipewe Karama”.

“Nimeamua kuzungumza kwakuwa wanaoumia ni watoto wangu sio mashabiki kwa sababu hawajui nini kinachoendelea juu yangu. Kwa sasa kazi nazifanya kwa mikono yangu yaani najua mimi nifanye sayansi gani kwako ili mambo yako yaende” – ameeleza Q Chief akiiambia SnS.

ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

Rais Samia Aandika. kwa Mkono wake/Kesi ya Akına MDEE ni Mnyukano Mkali/Mpole Avunja Ukimya……… MAGAZETI YA LEO IJUMAA JULAI MOSI, 2022
MAGAZETI

Rais Samia Aandika. kwa Mkono wake/Kesi ya Akına MDEE ni Mnyukano Mkali/Mpole Avunja Ukimya……… MAGAZETI YA LEO IJUMAA JULAI MOSI, 2022

by I am Krantz
Jul 1, 2022
BENKI YA CRDB YATOA GAWIO LA SHILINGI BILIONI 36.1 KWA SERIKALI
BIASHARA

BENKI YA CRDB YATOA GAWIO LA SHILINGI BILIONI 36.1 KWA SERIKALI

by I am Krantz
Jun 30, 2022
Stan Bakora Ahuhakikishia Ulimwengu Kuwa Kajala na Harmonize Wanafunga Ndoa Hivi Karibuni
BURUDANI

Stan Bakora Ahuhakikishia Ulimwengu Kuwa Kajala na Harmonize Wanafunga Ndoa Hivi Karibuni

by I am Krantz
Jun 22, 2022
Wabunge Waja Juu Sakata La Loliondo/Mpina Aichokonoa Tena Serikali Bei Ya Mbolea Na Umeme /Ole Sabaya Kazi Anayo /Yanga Siku Ya Kutua Aziz Ki/ Simba/Manula Kufuru Simba……… Magazeti Ya Tanzania Na Ya Nchi Za Nje, Leo, Jumanne, Juni 21, 2022

Jun 21, 2022
Lori Laua Wanafunzi Wanne / Rais Samia Aonya Kuhusu Panya Road/Kocha Wa Simba Ni Huyu Hapa /Zari Amzidi Kibenten Miaka 25…….MAGAZETI YA LEO JUMATATU TAREHE  20 JUNI
BURUDANI

Lori Laua Wanafunzi Wanne / Rais Samia Aonya Kuhusu Panya Road/Kocha Wa Simba Ni Huyu Hapa /Zari Amzidi Kibenten Miaka 25…….MAGAZETI YA LEO JUMATATU TAREHE 20 JUNI

by I am Krantz
Jun 20, 2022
MBOSSO AFUNGUKA KUHUSU HALI YA AFYA YAKE
BIASHARA

MBOSSO AFUNGUKA KUHUSU HALI YA AFYA YAKE

by I am Krantz
Jun 20, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
June 2022
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930  
« May   Jul »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In