ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, February 7, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Rafiki wa Mrembo Aliyefariki Baada ya Kufanyiwa Surgery Afunguka Mazito “Alilalamika Kutokwa na Damu”

I am Krantz by I am Krantz
Jun 5, 2022
in BURUDANI
0
Rafiki wa Mrembo Aliyefariki Baada ya Kufanyiwa Surgery Afunguka Mazito “Alilalamika Kutokwa na Damu”
0
SHARES
298
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

RelatedPosts

HIZI HAPA JEZI MPYA ZA SIMBA ZA LIGI YA MABINGWA AFRIKA

HIZI HAPA JEZI MPYA ZA SIMBA ZA LIGI YA MABINGWA AFRIKA

Feb 7, 2023

HAJI MANARA AIJIA JUU BODI YA LIGI KISA CLEAN SHEETS, SIMBA SC

Feb 7, 2023

DAYOO AFUNGUKA KWANINI ANASEMA “NAITWA MANGI…”

Feb 7, 2023
Load More


Mrembo mmoja toka Lagos nchini Nigeria, Crystabel anadaiwa kufariki katika Hospitali alikokuwa amekwenda kufanya upasuaji wa kuuboresha mwili wake (plastic surgery) uwe na muonekano unaovutia zaidi.

Rafiki wa mrembo huyo, Posha kupitia Twitter ameandika; “Nataka kueleza hadharani, Rafiki yangu alifariki katika hospitali hii huko Lagos Nigeria, siku chache zilizopita. ambapo alifanyiwa upasuaji.

“Sasa mimi sipingani na mtu yeyote anayetaka kuongeza mwili wake au kitu chochote kama hicho, ni maisha yako ya mwili na ni chaguo lako, kwa hivyo fanya kile unachopenda lakini ninapingana na Madaktari wanaodai kuwa wana uzoefu kutoka nje ya nchi, wamekuja Nigeria kuua vijana wa watu.

“Baada ya upasuaji alilalamika kutokwa na damu na madaktari walidai ni kawaida, itakoma. sasa tatizo ni hili, vipi wewe ni Daktari bingwa wa plastic surgery mwenye ujuzi wa hali ya juu na mwenye uzoefu kutoka nje ya nchi na ukimaliza kumfanyia upasuaji mtu akalalamika damu ukasema ni kawaida itakoma?

“Hospitali haikuona umuhimu wa kuwasiliana na jamaa yake yeyote mpaka marafiki wachache waliojua anaenda kufanyiwa upasuaji waliposema alitakiwa kuwa amerudi, waliamua kwenda Hospitali kumchungulia; walipofika, walipewa barua kwamba mwili wake umewekwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti. Hii inasikitisha”. – ameeleza Posha kwenye mfululizo wa tweet zake.

ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

DAYOO AFUNGUKA KWANINI ANASEMA “NAITWA MANGI…”
BURUDANI

DAYOO AFUNGUKA KWANINI ANASEMA “NAITWA MANGI…”

by ALFRED MTEWELE
Feb 7, 2023
BEYONCÉ AVUNJA REKODI TUZO ZA GRAMMY
BURUDANI

BEYONCÉ AVUNJA REKODI TUZO ZA GRAMMY

by Shabani Rapwi
Feb 6, 2023
TEMS ASHINDA TUZO YA GRAMMY, NI YA KWANZA KWA MSANII WA KIKE NIGERIA
BURUDANI

TEMS ASHINDA TUZO YA GRAMMY, NI YA KWANZA KWA MSANII WA KIKE NIGERIA

by ALFRED MTEWELE
Feb 6, 2023
Diamond; Mwaka Jana Biashara, Mwaka Huu ni Mziki kwa Sana
BURUDANI

Diamond; Mwaka Jana Biashara, Mwaka Huu ni Mziki kwa Sana

by ALFRED MTEWELE
Feb 3, 2023
MARIOO AMSHUKURU RAIS KIKWETE KUITIKIA MWALIKO WAKE
BURUDANI

MARIOO AMSHUKURU RAIS KIKWETE KUITIKIA MWALIKO WAKE

by ALFRED MTEWELE
Jan 31, 2023
NDOA YA DK MWAKA HAIJAVUNJIKA , UAMUZI ULIKUWA BATILI
. DODOMA

NDOA YA DK MWAKA HAIJAVUNJIKA , UAMUZI ULIKUWA BATILI

by Shabani Rapwi
Jan 27, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
June 2022
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930  
« May   Jul »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In