Msanii wa Bongofleva, Rosa Ree amefuta picha zote za mchumba wake, King Petrousse katika ukurasa wake wa Instagram.
–
ADVERTISEMENT
Hatua hiyo inakuja mara baada ya miezi hivi karibuni Rosa Ree kutokuonekana kuposti sana picha za King Petrousse kama ilivyokuwa hapo awali.
–
King Petrousse alimvisha Rose Ree pete ya uchumba Septemba mwaka jana, kisha kwenda Zanzibar kwa ajili ya mapunziko.
ADVERTISEMENT
–
Utakumbuka baada ya hatua hiyo, King Petrousse alioneka kwenye video ya wimbo wa Rosa Ree, Mulla akimshirikisha Abby Chams iliyotoka Desemba 2021.