ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, March 28, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

SAKHO AWAAHIDI MAZITO MASHABIKI WA SIMBA MSIMU WA 2022/23

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Jun 27, 2022
in HABARI
0
SAKHO AWAAHIDI MAZITO MASHABIKI WA SIMBA MSIMU WA 2022/23
0
SHARES
252
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

RelatedPosts

DC JOKATE MWEGELO AZURU NCHINI AFRIKA KUSINI KUTANGAZA FURSA ZAO LA MKONGE

DC JOKATE MWEGELO AZURU NCHINI AFRIKA KUSINI KUTANGAZA FURSA ZAO LA MKONGE

Mar 28, 2023

MBUNGE ATOA MAJIKO YA GESI 700 KWA WANAWAKE WAJASIRIAMALI

Mar 28, 2023

TAIFA STARS YAAHIDI KUENDELEZA ILIPOISHIA

Mar 28, 2023
Load More

Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Senegal Pape Ousmane Sakho amewashukuru Mashabiki wa Klabu ya Simba SC, kwa upendo waliomuonesha wakati wote tangu alipojiunga na klabu hiyo mwanzoni mwa msimu huu  2021/22.

–

Sakho ametoa shukurani hizo, kupitia ukurasa wake wa Instagram, huku akiwataka Mashabiki kuendelea kuwa na uvumilivu katika kipindi hiki ambacho Simba SC, imemaliza msimu bila ubingwa.

–

Kiungo huyo amewaahidi Mashabiki kuwa, msimu ujao utakua na furaha, kwani anaamni Simba SC itapambana kwa nguvu zote na kurudisha heshima ya Ubingwa.

–

Sakho ameandika: “Msimu unaisha hivi karibuni, ninachukua nafasi hii kusema ASANTENI mashabiki wa Simba SC kwa juhudi zenu zote, kunitia moyo na upendo na sapoti mliyonipa tangu mwanzo. Mlikuwepo siku zote katika nyakati ngumu na za furaha, Mlikuwa hodari na wenye nguvu. jasiri pia mambo yalipokuwa mabaya…”

ADVERTISEMENT

ADVERTISEMENT

–

“Tutarudi kwa nguvu zaidi kuwafanya mtabasamu tena, mfahamu tu kwamba nawapenda kwa moyo wangu wote na sitasahau upendo ambao timu hii nzuri ilinipa. Tutaonana hivi karibuni🇹🇿♥️”

–

Sakho alisajiliwa Simba SC mwanzoni mwa msimu huu 2021/22, akitokea klabu ya Teungueth FC ya nchini kwao Senegal.

–

  • Chanzo ; DAR24

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

DC JOKATE MWEGELO AZURU NCHINI AFRIKA KUSINI KUTANGAZA FURSA ZAO LA MKONGE
HABARI

DC JOKATE MWEGELO AZURU NCHINI AFRIKA KUSINI KUTANGAZA FURSA ZAO LA MKONGE

by ALFRED MTEWELE
Mar 28, 2023
MBUNGE ATOA MAJIKO YA GESI 700 KWA WANAWAKE WAJASIRIAMALI
HABARI

MBUNGE ATOA MAJIKO YA GESI 700 KWA WANAWAKE WAJASIRIAMALI

by ALFRED MTEWELE
Mar 28, 2023
RAIS SAMIA ATUNUKIWA TUZO NA WANAHABARI, JNICC
HABARI

RAIS SAMIA ATUNUKIWA TUZO NA WANAHABARI, JNICC

by ALFRED MTEWELE
Mar 28, 2023
MFAHAMU MVUVI ALIYEPOTELEA BAHARINI SIKU 438, NA KUKUTWA BADO YUPO HAI
HABARI

MFAHAMU MVUVI ALIYEPOTELEA BAHARINI SIKU 438, NA KUKUTWA BADO YUPO HAI

by ALFRED MTEWELE
Mar 28, 2023
MAKAMU WA RAIS MAREKANI ZIARANI KESHO NCHINI
HABARI

MAKAMU WA RAIS MAREKANI ZIARANI KESHO NCHINI

by ALFRED MTEWELE
Mar 28, 2023
WASANII BONGO WALIOTAJWA PLAYLISTS YA KAMALA
HABARI

WASANII BONGO WALIOTAJWA PLAYLISTS YA KAMALA

by ALFRED MTEWELE
Mar 28, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
June 2022
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930  
« May   Jul »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In