ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, July 2, 2022
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

Samaki mkubwa zaidi duniani wa maji baridi avuliwa Mekong

I am Krantz by I am Krantz
Jun 21, 2022
in #CHUKUAHII, HABARI
0
Samaki mkubwa zaidi duniani wa maji baridi avuliwa Mekong
0
SHARES
19
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Samaki mwenye uzani wa kilo 300 (lb 661) aliyevuliwa katika mto Mekong nchini Cambodia ndiye samaki mkubwa zaidi wa maji baridi kuwahi kurekodiwa, wanasayansi wanasema.

Samaki huyo (stingray) amempiku mwenye rekodi ya awali, samaki aina ya kambare mwenye uzito wa 646lb (293kg) aliyevuliwa nchini Thailand mwaka wa 2005.

RelatedPosts

WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA AJALI

WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA AJALI

Jul 2, 2022

TETESI ZA SOKA ULAYA LEO JUMAMOSI JULAI 2, 2022

Jul 2, 2022

Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

Jul 2, 2022
Load More

“Katika miaka 20 ya kutafiti samaki wakubwa katika mito na maziwa katika mabara sita, huyu ndiye samaki mkubwa zaidi wa maji baridi ambaye tumewahi kukutana nao au ambaye amerekodiwa mahali popote ulimwenguni,” Zeb Hogan, mwanabiolojia katika mradi wa uhifadhi unaofadhiliwa.

Hakuna uwekaji rekodi rasmi au hifadhidata ya samaki wakubwa zaidi wa maji baridi duniani.

“Kupata na kuweka kumbukumbu za samaki huyu ni jambo la kushangaza, na ni ishara chanya adimu ya matumaini, hata zaidi kwa sababu imetokea katika Mekong, mto ambao kwa sasa unakabiliwa na changamoto nyingi,” aliongeza Dk Hogan.

ADVERTISEMENT

Mradi wa uhifadhi unafanya kazi na Utawala wa Uvuvi wa Cambodia kuanzisha mtandao wa wavuvi ambao huwatahadharisha watafiti iwapo watakamata samaki wakubwa au walio hatarini kutoweka.

Stringray kubwa ya maji baridi ni spishi iliyo hatarini kutoweka. Huyu ni stingray wa pili kuchunguzwa na timu hiyo tangu Mei – yule wa awali alikuwa na uzito wa kilo 181.

ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA AJALI
HABARI

WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA AJALI

by Shabani Rapwi
Jul 2, 2022
NEYMAR KUONDOKA PSG
HABARI

TETESI ZA SOKA ULAYA LEO JUMAMOSI JULAI 2, 2022

by Shabani Rapwi
Jul 2, 2022
Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.
BIASHARA

Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

by I am Krantz
Jul 2, 2022
AFARIKI DUNIA BAADA YA KUNASA KWENYE NYAYA ZA UMEME
HABARI

AFARIKI DUNIA BAADA YA KUNASA KWENYE NYAYA ZA UMEME

by Shabani Rapwi
Jul 1, 2022
MTUMISHI WA TANESCO AKUTWA GUEST AMEFARIKI
HABARI

MTUMISHI WA TANESCO AKUTWA GUEST AMEFARIKI

by Shabani Rapwi
Jul 1, 2022
SIKUKUU YA EID EL-ADH’HAA JULAI 10, 2022
HABARI

SIKUKUU YA EID EL-ADH’HAA JULAI 10, 2022

by Shabani Rapwi
Jul 1, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
June 2022
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930  
« May   Jul »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In