Klabu ya Simba kupitia mitandao yake ya kijamii imethibitisha kuwa itaachana na beki wake kutoka Ivory Coast, Pascal Wawa baada ya kuitumikia Klabu hiyo kwa muda wa miaka minne.
ADVERTISEMENT
–
“Baada ya kutumikia timu yetu kwa misimu minne, Pascal Wawa hatakuwa sehemu ya kikosi chetu cha msimu ujao.
–
ADVERTISEMENT
Mkataba wake utamalizika mwisho wa mwezi huu na mchezo wa Alhamisi dhidi ya Mtibwa Sugar utakuwa mchezo wake wa mwisho,” Taarifa ya Simba Sc.