ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, July 2, 2022
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

Tanzania yaichapa Zanzibar 12-0

I am Krantz by I am Krantz
Jun 7, 2022
in MAGAZETI TANZANIA
0
Tanzania yaichapa Zanzibar 12-0
0
SHARES
25
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

RelatedPosts

WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA AJALI

WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA AJALI

Jul 2, 2022

TETESI ZA SOKA ULAYA LEO JUMAMOSI JULAI 2, 2022

Jul 2, 2022

Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

Jul 2, 2022
Load More

TIMU ya Twiga Stars inayowakilisha Tanzania Bara imeishushia Zanzibar Queens kichapo cha mbwa mwizi mabao 12-0 katika mchezo wa pili wa michuano ya Cecafa.

Tanzania Bara ‘Twiga Stars’ ilianza kutupa karata yake Jumapili ikiwafunga 2-0 Sudan Kusini huku Zanzibar Queens wakifungwa mabao 5-0 na Ethiopia.

Mchezo wa pili Kilimanjaro Queens ilitoka sare ya mabao 2-2  dhidi ya Ethiopia huku Zanzibar Queens ikiambulia kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Sudan kusini.

Michuano hiyo ilianza kutimua vumbi jumamosi katika uwanja wa Jinja Nchini Uganda Kilimanjaro wakitamba katika kundi lao D.

Mabao ya Kilimanjaro Stars yametiwa kimiani na Oppa Clement aliyefunga manne akiondoka na mpira wake kibindoni.

Mbali na Oppah aliyeondoka na mpira hata Mwanahamis Omary naye amefunga mabao matatu pekee.

Mabao mengine yamefungwa na Janeth Pangamwene, Diana Msewa, Enekia Lunyamila, Protas Mbunde pamoja na Ester Mabanza.

ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

Rais Samia Aandika. kwa Mkono wake/Kesi ya Akına MDEE ni Mnyukano Mkali/Mpole Avunja Ukimya……… MAGAZETI YA LEO IJUMAA JULAI MOSI, 2022
MAGAZETI

Rais Samia Aandika. kwa Mkono wake/Kesi ya Akına MDEE ni Mnyukano Mkali/Mpole Avunja Ukimya……… MAGAZETI YA LEO IJUMAA JULAI MOSI, 2022

by I am Krantz
Jul 1, 2022
BENKI YA CRDB YATOA GAWIO LA SHILINGI BILIONI 36.1 KWA SERIKALI
BIASHARA

BENKI YA CRDB YATOA GAWIO LA SHILINGI BILIONI 36.1 KWA SERIKALI

by I am Krantz
Jun 30, 2022
Q Chief Sasahivi ni Mganga wa Kienyeji…Afunguka Kuoteshwa Kutibu Watu
BURUDANI

Q Chief Sasahivi ni Mganga wa Kienyeji…Afunguka Kuoteshwa Kutibu Watu

by I am Krantz
Jun 19, 2022
Historia Yaandikwa /Viongozi Wa Dini Watema Cheche/Beki Mpya Wa Yanga Ni Huyu/Mo Kufanya Kufuru Usajili Bongo……………….MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMATATU TAREHE  13 JUNI 2022
MAGAZETI TANZANIA

Historia Yaandikwa /Viongozi Wa Dini Watema Cheche/Beki Mpya Wa Yanga Ni Huyu/Mo Kufanya Kufuru Usajili Bongo……………….MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMATATU TAREHE 13 JUNI 2022

by I am Krantz
Jun 13, 2022
OLE SABAYA” WE ACHA TU”/AJALI YAUA 20 / AUCHO ASHUSHA JEMBE LA MAANA YANGA/UWOYA ATOBOA SIRI YA KUTOZEEKA……..MAGAZETI NI LEO JUMAMOSI TAREHE 11 JUNI 2022
MAGAZETI TANZANIA

OLE SABAYA” WE ACHA TU”/AJALI YAUA 20 / AUCHO ASHUSHA JEMBE LA MAANA YANGA/UWOYA ATOBOA SIRI YA KUTOZEEKA……..MAGAZETI NI LEO JUMAMOSI TAREHE 11 JUNI 2022

by I am Krantz
Jun 11, 2022
Sure Boy Atoa Kauli ya Kibabe Yanga, Aaahidi Kuwaziba Watu Midomo
MAGAZETI TANZANIA

Membe Afunguka Kuhusu Wasiojulikana/Nafuu Zaidi Ya Mafuta Yaja/Utapeli Wa Upatu Waumiza Wengi/Simba Yanasa Kiuingo Mwingine/Stars Yalala Nyumbani……….MAGAZETINI LEO ALHAMISI TAREHE 9 JUNI

by I am Krantz
Jun 9, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
June 2022
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930  
« May   Jul »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In