ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Wednesday, June 29, 2022
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

TBS YATOA MAFUNZO KWA WAJASIRIAMALI WACHAKATAJI WA MBEGU ZA MAFUTA YA ALIZETI MKOANI GEITA

I am Krantz by I am Krantz
Jun 3, 2022
in HABARI
0
TBS YATOA MAFUNZO KWA WAJASIRIAMALI WACHAKATAJI WA MBEGU ZA MAFUTA YA ALIZETI MKOANI GEITA
0
SHARES
48
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe.Rosemary Senyamule akifungua mafunzo kwa Wajasiriamali-Wachakataji wa Mbegu za Mafuta ya Alizeti mkoani Geita ambapo Mafunzo hayo hutolewa na TBS.Baadhi ya Wajasiriamali-Wachakataji wa Mbegu za Mafuta ya Alizeti mkoani Geita wakiwa kwenye mafunzo ambayo yanatolewa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS).

*************************

NA MWANDISHI WETU

RelatedPosts

R KELLY AHUKUMIWA MIAKA 30 JELA

R KELLY AHUKUMIWA MIAKA 30 JELA

Jun 29, 2022

POLISI 156 WAFUKUZWA MAFUNZONI

Jun 29, 2022

VIGOGO WA CHAMA CHA WALIMU WAHUKUMIWA MIEZI 6 JELA

Jun 29, 2022
Load More

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limetoa Mafunzo kwa wasindikaji wa mbegu za mafuta ya alizeti wasiopungua 40, ambao tayari wanafanya shughuli ya usindikaji na ufungashaji na kwamba tayari bidhaa zao zipo kwenye soko ila hazijathibitishwa ubora na TBS.

Akizungumza wakati akifungua mafunzo hayo leo Juni 02,2022 mkoani Geita, Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe.Rosemary Senyamule amesema kuwa Mkoa wa Geita ni moja ya Mkoa ambao unakua katika sekta ya kilimo na biashara na kwa hivyo basi usindikaji wa mbegu za mafuta ya alizeti ni sehemu ya shughuli kuu za uzalishaji kwa wajasiriamali na wafanyabiashara wakubwa na wadogo kwenye Mkoa huo.

Amesema azma ya Serikali ni kuhakikisha kuwa nchi yetu tunajitosheleza katika uzalishaji wa mafuta ya kula ili kupunguza matumizi makubwa ya fedha za kigeni kuagiza mafuta kutoka nje.

“Takwimu za hivi karibuni zinaonesha kwamba, mahitaji yetu halisi ya mafuta ya kula kwa mwaka ni takribani tani 570,000, ukilinganisha na uzalishaji wa ndani wa tani 205,000 tunakuwa na upungufu wa tani 365,000 (TARI 2020) ambazo serikali inalazimika kuagiza kutoka nje ya nchi ili kufidia pengo hilo”. Amesema RC Senyamule

ADVERTISEMENT

Aidha amesema tuwe na uelewa wa pamoja kwamba, kujitosheleza huko ni pamoja na kwenda sambamba na uzalishaji wa mafuta yanayozingatia viwango, ubora na usalama ili kulinda afya ya mlaji.

ADVERTISEMENT

 

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

R KELLY AHUKUMIWA MIAKA 30 JELA
HABARI

R KELLY AHUKUMIWA MIAKA 30 JELA

by Shabani Rapwi
Jun 29, 2022
POLISI 156 WAFUKUZWA MAFUNZONI
HABARI

POLISI 156 WAFUKUZWA MAFUNZONI

by Shabani Rapwi
Jun 29, 2022
VIGOGO WA CHAMA CHA WALIMU WAHUKUMIWA MIEZI 6 JELA
HABARI

VIGOGO WA CHAMA CHA WALIMU WAHUKUMIWA MIEZI 6 JELA

by Shabani Rapwi
Jun 29, 2022
MAHAKAMA YATOA AMRI KESI HALIMA MDEE NA WENZAKE
HABARI

MAHAKAMA YATOA AMRI KESI HALIMA MDEE NA WENZAKE

by Shabani Rapwi
Jun 29, 2022
RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI HUU
HABARI

RAIS SAMIA ATEUA MKUU WA MAJESHI YA ULINZI

by Shabani Rapwi
Jun 29, 2022
MPOLE AMFUNIKA MAYELE LIGI KUU YA NBC 2021/22
HABARI

MPOLE AMFUNIKA MAYELE LIGI KUU YA NBC 2021/22

by Shabani Rapwi
Jun 29, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
June 2022
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930  
« May    
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In